TUNZA NGOZI YAKO KWA VIUNGO ASILIA
Tulio wengi tumezoea kutumia vipodozi mbalimbali vitengenezwavyo viwandani, Leo katika toleo hili maalum nataka tuangalie namna ambavyo tunaweza hudumia na kuitunza ngozi kwa kutumia viungo vya asili, nataka tuangalie ni namna gan mtu anaweza kutmia tende na limao/chungwa katika kutengeneza barakoa (mask) ya usoni. Katika…
JINSI YA KUTUNZA NYWELE KATIKA KIPINDI CHA RAMADHANI
Kutokana na madiliko katika mfumo wa chakula katika ramadhani,nywele zako zitegemewe kudhoofu. Kwa wanawake wengine nywele zao zina kauka na wengine zinakatika. Habari nzuri ni kwamba unaweza kudhibiti hali hii kwa kufuata yafuatayo: Barakoa ya Nywele (Hair Mask) Kuza na Ng’aza Nywele zako kutumia Barakoa…
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…