SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Hair

MATUNZO YA RASTA 

Kusuka rasta ni kuzuri sana na kunapendezesha mno, lakini pia usipo zijali zina kata sana nywele hasa za mbele, fanya yafuatayo ili kulinda rasta zako na pia nywele, Siku moja kabla ya kusuka fanyia steaming nywele zako unaweza kufanya hizi hata ukiwa umesukia rasta na…

Habari

MITINDO YA NYWELE FUPI 

Ikiwa wengi wameanza mwaka kwa nywele fupi inawezekana style hii ikaendelea mpaka katikati ya mwaka. Ukiwa na nywele fupi haimaanishi huwezi kuweka style au kuzipendezesha ki aina tofauti tofauti, Hizi ni style ambazo zinaweza kukusaidia wakati unaendelea kukuza nywele zako au hata zikiwa fupi sana…

Urembo

KUZA/JAZA NYUSI ZAKO KWA KUFANYA HAYA 

Nyusi zina beba asilimia kubwa sana ya urembo wa sura yako, ina paswa ziwekwe vizuri ili kuupa uso na macho yako muonekano mzuri, kama una nyusi chache fanya haya ili kukuza na kujaza nyusi zako. Nunua Vitamin E Mafuta ya Argan Mafuta ya mnyonyo changanya…

ThrowBack

#TBT KUMBUKA VIPODOZI VYA ZAMANI 

Leo katika #tbt yaani Throw Back Thursday au alhamisi ya tupanyuma tunakuletea vile vipodozi ambavyo watu wengi walikua wana vitumia haijalishi una hela au huna, enzi zile bado hatukuwa tunamjua mac wala iman. Zamani tulikua tunapaka Baby powder usoni yani hapo hakuna cha Mac powder…

Hair

TIBA YA KUKUZA NYWELE 

VITUNGUU MAJI Unaweza kushangaa kwamba kitunguu maji kinawezaje kukuza nywele, lakini katika hiki kitunguu kuna sulfur nyingi ambazo zinasaidia kukuza collagen ambayo inafaida kwa nywele. Tengeneza Juisi ya vitunguu kisha paka kwenye shina za nywele kaa nayo kwa muda na kisha uoshe, unaweza pia ukachanganya…

Urembo

CRUSHING MAKEUP YA VJ PENNY 

Leo katika beauty crush yupo vj penny make up artist wake amempatia sana katika hii, kila kitu kipo on point kuanzaia nyusi, kope, lipstick na eye liner.   Jinsi ambavyo lipstick imekaa kwenye midomo bila kusambaa nje na¬† nyusi na eye liner zilivyo ishia kwa…

Afya

NINI ULE KUIPA NGOZI AFYA 

Wote tunapenda kuonekana warembo na vijana. Lakini inawezekana ukawa unajiharibu zaidi katika kujifanya uwe mrembo leo na kujiletea madhara makubwa yasiyotibika kesho. Pia, inawezekana unatumia hela nyingi na muda mwingi katika kuhakikisha ngozi yako inakuwa nyororo, nzuri, na ya kuvutia. Je, unafahamu kuwa kuna aina…

Urembo

UREMBO WA KUUPOTEZEA 2016 

2016 Unahitaji kubadilika kuna urembo mwingine umesha pitwa na wakati ni wa kuuacha tu 2015 Faux Piercings/ kidani cha pua mara ya kwanza zilivyo ingia kila mtu alikua ana zitamani hasa baada ya watu kama Rihanna kuvivaa lakini sasa zilivyo sambaa zikawa nyingi mno mpaka…