SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Urembo

Exaggerated Baby Hair Style Trend 

Baby hair ni zile nywele fupi, laini zilizopo karibu na edges za nywele zako, zinaweza kuwa ndefu, fupi na wakati mwingine curly inategemea na aina na texture ya nywele zako, mara nyingi hizi huonekana sana wakati tukiwa watoto ( ndio maana zikaitwa baby hair) lakini…

Urembo

Style Ya Rasta Inayo Trend Kwasasa 

Kama kuna urembo ambao hauchoshi na kilakukicha wasusi wanabuni styles mpya basi ni rasta, kila mara tumekuwa tukiona zinakuja styles mbalimbali ambazo ni nzuri hasa na za kupendeza. Kwa sasa style ambayo inatrend ni curly loc braids. Tumewaona watu maarufu mbalimbali wakiwa wamesukia mtindo huu…

Urembo

Spotted Beauty Looks From Last Week 

Iwe walikuwa kazini, kwenye mitoko na wapendwa wao au wamejipaka tu kwaajili yao wenyewe kwaajili ya nafsi zao, watu hawa maarufu walionekana kwenye mionekano ya kuvutia na makeup zao. Tumependa tulichokiona na efforts wanazotumia makeup artist kuwafanya waonekane warembo bila kupoteza ule urembo asilia wao….

Urembo

Fahamu Zaidi Kuhusu V Steam 

V Steam imekua kwenye midomo ya watu hasa wanawake kwa muda sasa, Ikiwa inasemekana ni njia nzuri ya kusafisha sehemu za siri za kike. Tumepata fursa ya kufanya mahojiano na gyverbeautyandspa ambae ametuelezea kwa uzuri kuhusu V steam AFS: Steaming Ni Nini?Gyver: V steam ni…

Urembo

Facial Mask Ya Manjano, Asali, Ndimu Na Mtindi 

Shekha Manjano ni mmiliki wa kampuni ya vipodozi vya manjano na juzi aliweka beauty tip ya namna ambavyo una weza kutumia manjano,mtindi,ndimu na asali kuondoa chunusi.. na hivi ndivyo alivyo andika katika kutoa somo hilo “Weekend yangu naimalizia kujipamper na homemade face mask. Kama unasaumbuliwa…

Urembo

Hans Tone Rocking Black Nail Polish 

Dhana za kusema kupaka rangi katika kucha ni Uanamke zimepita sasa hivi wanaume nao wanapaka rangikucha zao, by the way kupaka rangi kucha kumeanza miaka mingi tangu enzi za ma’babu zetu kwaio sio kitu kigeni bali tu hapa katikati swala hili liliachwa kwakua iliaminika urembo…

Urembo

Self Care Checklist To Do This Weekend 

Baada ya week nzima ya stress za kazini, kwenye biashara, heka heka za watoto mashuleni etc weekend ni wakati mzuri wa kujijali wewe pamoja na familia yako. Ikiwa wengi tunadhani selfcare ni kwa wenye pesa au kutoka kwenda sehemu ambazo utafanyiwa huduma fulani lakini kumbe…

Urembo

Big Pendant Necklace’s Are The New Choker’s 

Wenzetu huwa wanasema “Go Big Or Go Home”, inaonekana wasanii wetu wanalitilia mkazo hili kwasasa linapokuja swala zima la mikufu na vidani vyake. Tumeona wasanii mbalimbali kutoka Africa wakiwa wanavalia mikufu yenye vidani vikubwa vyenye maandishi au picha mbalimbali inategemea na mapenzi yake. Kwetu Tanzania…

Urembo

Je Unapaka Sunscreen Kabla Au Baada Ya Moisturizer? 

Swala la kupaka sunscreen limekuwa swala kubwa sana kwasasa Nchini kwetu na hii inatokana na kwamba hiki ni kitu kipya kidogo kwetu. Wengi tunazo kwasasa na wafanyabiashara wa urembo wengi wamekuwa wakiziongelea na kuziuza. Tulishatoa tips mbalimbali kuhusu umuhimu wa kupaka sunscreen Umuhimu Wa Kupaka…