SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Urembo

MITINDO YA NYWELE KATIKA MAJIRA YA KIANGAZI 

Kiangazi ni kipindi/msimu wa joto katika mwaka na ndio huu ambao umeanza sasa. kipindi hiki huwa tunapata tabu na nywele jinsi gani tuzitunze, tuziweke kwa namna ipi ili zisitusumbue na kutuongezea joto zaidi. kwa sababu ni msimu wa joto basi mitindo mingi huwa ambayo kama…

Urembo

MAANDALIZI YA EID KWA HENNA NA BANGILI 

Kumi la mwisho limeingia, shamla shamla za Eid zimeanza. Wafanya Biashara Wameanza Kuleta Bidhaa Kutoka Sehemu Mbalimbali Ndani au Nje Ya Nchi, Vitu Vimepanda Bei Kwa Kua Kila Mtu Anataka Kusherehekea Eid Kinamna Yake. Kwa Upande Wa Kina Mama Na Kina Dada Huu Ndio Wakati Wa…

Urembo

JINSI YA KUPENDEZESHA HIJAB 

Mara nyingi watu hudhani kupendezesha hijab yako ni kuvaa mkufu na pete lakini husahau kua kuna namna nyingine ya kupamba hijab zao, kama unavaa hjab ya rangi moja au mavazi yasiyo na urembo mwingi haito umiza kama ukiongezea na urembo mwingine ili kupata muonekano mzuri…

Urembo

TUNZA NGOZI YAKO KWA VIUNGO ASILIA 

Tulio wengi tumezoea kutumia vipodozi mbalimbali vitengenezwavyo viwandani, Leo katika toleo hili maalum nataka tuangalie namna ambavyo tunaweza hudumia na kuitunza ngozi kwa kutumia viungo vya asili, nataka tuangalie ni namna gan mtu anaweza kutmia tende na limao/chungwa katika kutengeneza barakoa (mask) ya usoni. Katika…

Urembo

JINSI YA KUTUNZA NYWELE KATIKA KIPINDI CHA RAMADHANI 

Kutokana na madiliko katika mfumo wa chakula katika ramadhani,nywele zako zitegemewe kudhoofu. Kwa wanawake wengine nywele zao zina kauka na wengine zinakatika. Habari nzuri ni kwamba unaweza kudhibiti hali hii kwa kufuata yafuatayo: Barakoa ya Nywele (Hair Mask) Kuza na Ng’aza Nywele zako kutumia Barakoa…