Trend iliyopo kwa sasa ni kuvaa deconstructed nguo, yaani nguo ambazo zime vurugwa muonekano wake tumeona trend hii kwa watu wengi ila Rihanna ameonekana nayo mara nyingi zaidi

Rihanna-Jacquemus-striped-off-the-shoulder-top-and-rene-Caovilla-embellished-sling-back-pumps-1-370x600

ikiwemo ile ya kuvaa shirt mbele nyuma nyuma mbele leo tuna kuletea namna ya kufanya mwenyewe hizi nguo bila gharama

1)The Off-the-Shoulder Top

deconstructed-shirt-collage-1

 • fungua vifungo vya kwanza vinne vya juu
 • slide shirt katika mabega
 • poo the collar

2)The One-Shoulder Blouse

 • deconstructed-shirt-collage-2 Fungua Vifungo vitatu vya juu vya shirt
 • Toa mikono kama unavua shirt
 • Chukua mkono mmoja upeleke nyuma ya shirt
 • chukua ule mkono ulio upeleka nyuma upitishe kwenye bega kuuleta mbele.
 • Funga fundo kwa mbele kwa kutumia ule mkono ulio baki mbele na ulio upitisha begani kama unavyo ona kwenye picha.

3)The Strapless Shirt

deconstructed-shirt-collage-3

 

 •  Fungua vifungo vitano vya juu ya shirt
 • Toa mikono kabisa
 • Funga mikono fundo kwa mbele kama uonavyo hapo juu

4)Skirt With a Button-Up Slit

deconstructed-shirt-collage-4

 

 • Fungua Vitatu adi vinne vya juu
 • shusha shirt mpaka kiunoni ikae kama skirt
 • zungusha shirt mpaka visikizo vikae upande wa paja .
 • Fungua vifungo vichache vya chini ili kupata mpasuo.
 • Mwisho funga mikono ya shirt katika ule upande ulio geuzia shirt na kuweka mpasuo.

Kama utajaribu trend hii usisite kututag kupitia kurasa zetu katika mitandao ya kijamii

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

 

 

 

Comments

comments