Jeans zilizo chanwa chanwa (ripped jeans) zina pendwa sana lakini tatizo ni moja tu jeans hizi pale zilipo chanika zina endelea kuchanika eidha ukifua au ukiwa ume kaa uka kunja goti basi taflani, hizi ndivyo unavyo weza kuzia tatizo hilo,

GUNDI YA NGUO:

RippedJeans-Glue

  • Tumia gundi ya nguo kupaka kwenye kingo ya sehemu zilizo chanika, anza na ndani paka acha gundi ikauke kisha hamia nje lakini ni vizuri pia ukaweka kibao katikati ili kuzuia suruali hio kugandana. Pia chagua gundi nzuri nyingine zinaweza kukuharibia nguo.

RippedJeans-Apply1

KUSHONA:

Shona kwenye kingo za sehemu iliyo chanika hii itazuia jeans kuendelea kuchanika kwa muda.

Sewing needle with black thread, isolated on white background.

Comments

comments