Jasmine-perfume-ingredients

MAHITAJI

Vodka – 2 vijiko viwili

Maji ya Maua ya Machungwa – 1 kijiko

Mchanganyiko wa Jasmine

Matone 30 ya maua ya Jasmine

Matone 5 ya maua ya Jasmine

Matone 5 ya lavender

MAELEKEZO

Changanya mchanganyiko wako wa matone ya maua ya Jasmine,matone ya vanilla, matone ya lavender na vodka na uviache kwa siku mbili, baada ya apo miminia maji ya maua ya machungwa na uache kwa mwezi mzima katika sehemu tulivu isiyo na baridi sana wala joto sana nap awe penye giza. Kisha baada ya hapo tafuta chupa yoyote ya manukato miminia na furahia manukato yako.

Jasmine-perfume-sq