Chi Krneta ni mwanamama ambae ame break the Internet kwa kushona gauni lake la harusi, tofauti na wanawake wengi ambao wanatumia zaidi ya $500 katika kununua magauni mazuri ya harusi Chi ametumia $30 tu sawa na Tsh 66000 kutangeneza gauni lake ambapo ametumia uzi na sindano tu.

na hili ndilo gauni lenyewe

092514-cc-crochet-wedding-dress-4-img crochet-dress-main

15302871890_fd4964c569_h