Kila mmoja wetu ana penda kuonekana tofauti wa kipekee hasa pale inapo kuja katika mitindo,na ili kuwa ivyo inabidi kuna vitu vingine ufanye mwenyewe leo tunakuletea pete ya mawe mawili

MAHITAJI:
geo-multi-finger-ring-supplies

Gundi
mawe
plies
pete-2

Maelekezo
geo-multi-finger-ring-open-band
fungua pete zako na uache kitobo katikati

geo-multi-finger-ring-glue-bands
gundisha pete zako kama inavo onekana hapo juu kwa staili ya juu chini chini juu

geo-multi-finger-ring-adding-stones

geo-multi-finger-ring-adding-stones-2
Gundisha mawe yako kama ionekanavyo

geo-multi-finger-ring-adding-stones-top

Comments

comments