Weekend imefika wengine wana plan za kwenda sehemu mbalimbali kutembea, lakini wengi wetu tungependa kutembelea ufukweni kupata upepo wa bahari na ku-clear mind kutokana na stress za week nzima. Well je unajua nini uwe nacho ukiwa unaenda huko beach? leave that to us maana tupo hapa ku-solve matatizo yako katika swala zima la fashion.
According to fashionista’s tulio waona sasa hivi ukienda beach au vacation maeneo ya ufukweni basi hivi ndivyo vitu vitatu hutakiwi kukosa kimoja wapo.
- The Sun Hat / Beach Hat
Hii ni ile kofia kubwa inaweza kuwa ya mkeka au fabric yoyote, ukiachana na kofia hii kukukinga na jua ni moja kati ya accessories zinazo fanya beach outfit yako ionekane stylish lakini pia inakupa the chic look, who doesn’t want that feeling? well tumeona fashionista’s mbalimbali kutoka Tanzania wakiwa katika maeneo ya fukwe wakiwa wamevalia kofia hii.
Mbunifu Doreen Mashika yeye aliamua kuvaa swimming costume na hii kofia ya mkeka
Wakati Mwanamitindo Tausi Likokola yeye aliamua kuvaa all white beach wear.
- Straw Bags / Kikapu
Kikapu kimekuwa kina trend kwa sasa sio tu kukibeba sokoni, sasa hivi kina bebwa mtaani na hata beach, ni kizuri kwa kuwekea vitu vyako kama sun screen cream, spray, vitabu na hata kuweka mavazi yako na viatu vya kubadilisha, we love seen these bags beach zinakupa ile Caribbean feeling & yet a girlie look
Fashionista Naomi Cliff yeye alibeba straw bag yake akiwa amevalia na swimming costume, Straw hat na miwani- Beach-Slay
Fashionista Lavidoz yeye aliabeba straw bag yake while in Zanzibar akiwa amevali short pants, t-shirt na vans akamaliza na miwani, extra level of beach vacation.
- Miwani
Miwani ni mizuri sana ukiwa beach ukiachana na kuzuia jua na pia kuzuia vumbi kuingia machoni nayo inasaidia ku spice up your beach look kutoka kwenye plain to i made efforts.
Wishing you a lovely weekend and may you slay your holiday.
Related posts
7 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/dondoo/3-items-to-have-on-your-beach-vacation-this-weekend/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 98707 more Info on that Topic: afroswagga.com/dondoo/3-items-to-have-on-your-beach-vacation-this-weekend/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/dondoo/3-items-to-have-on-your-beach-vacation-this-weekend/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 36466 more Info to that Topic: afroswagga.com/dondoo/3-items-to-have-on-your-beach-vacation-this-weekend/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/dondoo/3-items-to-have-on-your-beach-vacation-this-weekend/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/dondoo/3-items-to-have-on-your-beach-vacation-this-weekend/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 16847 additional Info to that Topic: afroswagga.com/dondoo/3-items-to-have-on-your-beach-vacation-this-weekend/ […]