SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

3 Tips For Achieving Straight Posture
Dondoo

3 Tips For Achieving Straight Posture 

Week iliyopita tuliongelea kuhusu Bad Posture To Fix For Confident Body Language, tulipokea maswali mengi na moja wapo lilikuwa mtu anaanzaje kuwa na straight posture, kiukweli kama hujazoea si rahisi na lazima utajisahau na kukakaa au kutembea ukiwa umeinama au kujikunja.

Leo tunakulete tips 3 za namna unaweza kupata straight posture

  • Boresha Namna Unavyokaa

Kama umezoea kuinama au kujikunja wakati umekaa jitahidi sana ukikaa uwe straight, mgongo uwe straight na rudisha mabega nyuma, hii pia inasaidia katika mmeng’enyo wa chakula pamoja na kuondoa tensio kwenye maeneo ya shingo na mabega, lakini pia maumivu ya mgongo utaepukana nayo.

  • Rekebisha Makosa Haya

Mgongo kupinda, round shoulders pamoja na kuinamisha kichwa mbele ni mkao mbaya, unatakiwa kuwa straight shindo iwe straight foward mfano unapo angalia simu iweke usawa wa uso badala ya kuiweka chini wakati unaitumia.

  • Jichunguze Na Rekebisha Makosa Yako

Chukua muda kujiangalia kwenye kioo, angalia namna unatembea, angalia vile unavyo kaa, angalia namna unasimama na rekebisha yale makosa unayoyaona yanatokea, pia unaweza kuji record kwenye simu

NB:Endelea kufanya mazoezi usichoke, mara nyingi unavyofanya ndivyo ambavyo unakaribia kuwa na mkao mzuri as wazungu husema “practise makes it perfect”

Related posts