SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Baby Steps Katika Kupungua Uzito Nakuwa In Shape
Afya

Baby Steps Katika Kupungua Uzito Nakuwa In Shape 

Body goals. Body goals. Well kila unaposcroll mtandaoni waweza ona kila mmoja akiwa fit, working out na waishia kucomment tu. Waweza kuwa wahitaji kuwa in shape but hujui uanzie wapi maana kila kukicha upo pale pale.

Hizi ni tips chache ambazo zaweza kukusaidia katika kuwa in shape.

 • Anza kwa kumonitor ulaji wako ambapo waweza anza kwa kupunguza na kisha kuacha kabisa ulaji wa vitu visivyoshauriwa kiafya kama soda, pombe, fast foods, sukari na kadhalika. Waweza replace hivi na unywaji wa maji, matunda na mbogamboga juice pia kutumia asali kama mbadala wa sukari kuna application za simu ambazo zinaweza kukusaidia katika ku-monitor ulaji wako kama, 21 DAY FIX TRACKER, KETO DIET MEAL PLAN & MY MACROS +

 

 • Pangilia ratiba maalumu ya kufanya mazoezi kila siku uamkapo na jioni urudipo toka kazini. Waweza kuwa huna uwezo wa kuhudhuria gyms so waweza download apps za mazoezi mtandaoni ama videso toka Youtube zikakuongoza. Pia kama una mtu waweza train naye kila siku itakupa motisha zaidi.Kama waweza kwenda gym then onana na trainer aweze kukupa mwongozo wa mazoezi na kiafya. Pia hata kama huwezi kwenda gym, waweza wasiliana na online trainers wakakupa mwongozo katika hili.

 • Pia kuwa mtu wa malengo maana waweza anza mazoezi bila malengo na kuishia kuwa pale pale. Hakikisha unaweka malengo na uyatimiza na hata kuyavuka.

Tambua haitakuwa safari rahisi hata mbuyu ulianza kama mchicha hivyo pia ukiwa na nia dhabiti utayafikia malengo hayo.

Imeandikwa na @willibard_Jr

Related posts

6 Comments

 1. 168moonlight

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/dondoo/baby-steps-katika-kupungua-uzito-nakuwa-in-shape/ […]

 2. This Site

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/dondoo/baby-steps-katika-kupungua-uzito-nakuwa-in-shape/ […]

 3. สมัครบาคาร่า

  … [Trackback]

  […] There you will find 87096 additional Information on that Topic: afroswagga.com/dondoo/baby-steps-katika-kupungua-uzito-nakuwa-in-shape/ […]

 4. 메타마스크

  … [Trackback]

  […] Here you can find 90985 more Information on that Topic: afroswagga.com/dondoo/baby-steps-katika-kupungua-uzito-nakuwa-in-shape/ […]

 5. crumpets disposable vape https://exotichousedispensary.com/product/springfield-farm-carts/

  … [Trackback]

  […] Here you can find 61688 more Information on that Topic: afroswagga.com/dondoo/baby-steps-katika-kupungua-uzito-nakuwa-in-shape/ […]

 6. unicc alternative

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/dondoo/baby-steps-katika-kupungua-uzito-nakuwa-in-shape/ […]

Comments are closed.