Mahitaji
Strawberry – 8/9
Asali – vijiko 3 vya chakula
Jinsi Ya Kutengeneza:
Osha Strawberry zako kisha ziweke katika bakuli safi kavu, ziponde ponde kwa uma au kitu chochote unachoweza kupondea mpaka zilainike na kuwa kama juisi. Baada ya hapo miminia asali yako.
Kwa kutumia mkono au brush paka barakoa yako usoni lakini hakikisha una Epuka sehemu za machoni, kaa na barakoa yako kwa muda wa dakika 10/15 kisha osha uso wako kwa maji ya moto, unaweza kupaka mafuta yako unayo tumia siku zote.
Barakoa hii haichagui ngozi ina tumika katika ngozi za aina zote.
Faida
- Strawberries ina Vitamin C ambayo inasaidia ngozi kutengeneza seli mpya.
- Inaipa ngozi muonekano mpya wa kijana na kuondoa mikunjo usoni.
- Strawberry inaipa ngozi ya uso utakaso.
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/dondoo/barakoa-ya-uso-kutumia-matunda-ya-strawberry/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/dondoo/barakoa-ya-uso-kutumia-matunda-ya-strawberry/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/dondoo/barakoa-ya-uso-kutumia-matunda-ya-strawberry/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/dondoo/barakoa-ya-uso-kutumia-matunda-ya-strawberry/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/dondoo/barakoa-ya-uso-kutumia-matunda-ya-strawberry/ […]