SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

CELLO TAPES NA MCHANGO WAKE KATIKA UREMBO
Dondoo

CELLO TAPES NA MCHANGO WAKE KATIKA UREMBO 

Cello Tapes uwaga zipo tu nyumbani kwa matumizi ya kugundishia vitu, japo si kitu ambacho kina tumika mara mara hasa kwa wamama lakini uwaga kipo nyumbani.

kwa wanafunzi pia huwa wanakuwa nacho kwa ajili ya matumizi mbali mbali ya shuleni lakini tusicho kijua ni kwamba kuna matumizi mengi ye cello tapes katika urembo hasa kwa wana mama

unaweza kutumia cello tapes kama

Tumia Cello tape kubana vidole vyako viwili vya mguuni ili kuweza kuvaa kiatu chako kirefu vizuri na kuepuka maumivu ya vidole.

8-9-make-new-heels-more-comfortable

 Kusaidia maziwa kukaa vizuri katika nguo ya mgongo wazi huwezi kuvaa nguo ya mgongo wazi na bra unacho takiwa kufanya ni kufunga mkanda mrefu kuanzia chini ya titi mtapa begani na itakaa vyema tu.
hqdefault
Tumia cello tape katika kupaka eye liner, ili kupata eye liner ambayo mstari wake ume kaa vizuri unaweza kupandika cello tape chini ya jicho ambapo una taka mstari wako wa eye liner ukae na kisha uka paka eye liner yako.
surgicaltape2

Related posts

2 Comments

  1. benelli firearms guns

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/dondoo/cello-tapes-na-mchango-wake-katika-urembo/ […]

  2. Cambodian Mushrooms, Cambodian Shrooms,

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/dondoo/cello-tapes-na-mchango-wake-katika-urembo/ […]

Leave a Reply