Ukiwa una nywele naturally (za asili bila dawa) huwa kuna kuwa na matatizo mengi unayapitia, kama ukuaji wa nywele, nywele kukatika nakadhalika hii hutokana na watu wengi kudhani kwamba kwa sababu nywele ni za asili basi hazihitaji matunzo La hasha hizi ndizo zina hitaji matunzo maradufu hivi hivi zitaharibika na utazichukia. Vipi chai husaidia ukuaji wa nywele? Chai husaidia nywele kuto kukatika , pia inaongeza unyevu kwenye nywele. Chai pia kuimarisha ukuaji wa nywele.
MAELEKEZO:
- chemsha chai na uitoe ipoe
- wakati inaendelea kupoa osha nywele zako kwa shampoo
- kisha tumia ile chai kusuuzia nywele
- baada ya hapo zifanyie steaming nywele zako ukiwa hujaikausha sana ile chai.
unaweza kutumia majani ya chai yoyote green tea,black tea, rosemary au nettle they zote zina matokeo tofauti unaweza kujaribu zote ili upate ipi ina kupendeza zaidi.
- kubadilisha nywele za kijivu kuwa nyeusi – majani ya chai ya Rosemary na Sage
- kung’arisha nywele– chai nyeusi kwa watu wenye nywele nyeusi, kwa wenye nywele nyekundu tumia rooibos
- kupunguza nywele kukatika – chai ya kijani (green tea), chai nyeusi (black tea)
-
Kuchochea ukuaji wa nywele - chai ya kijani (green tea)
- kuzipa nywele afya (unene na ukuaji) – chai nyeusi (black tea)
Related posts
7 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 4293 additional Information on that Topic: afroswagga.com/dondoo/chai-husaidia-afya-ya-ukuaji-wa-nywele-natularista/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/dondoo/chai-husaidia-afya-ya-ukuaji-wa-nywele-natularista/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/dondoo/chai-husaidia-afya-ya-ukuaji-wa-nywele-natularista/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 30317 additional Info on that Topic: afroswagga.com/dondoo/chai-husaidia-afya-ya-ukuaji-wa-nywele-natularista/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/dondoo/chai-husaidia-afya-ya-ukuaji-wa-nywele-natularista/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/dondoo/chai-husaidia-afya-ya-ukuaji-wa-nywele-natularista/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/dondoo/chai-husaidia-afya-ya-ukuaji-wa-nywele-natularista/ […]