SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Dondoo Za Kufanya Unyunyu “perfume” Wako Udumu Kwa Muda Mrefu
Dondoo

Dondoo Za Kufanya Unyunyu “perfume” Wako Udumu Kwa Muda Mrefu 

Kama wajikuta unyunyu wako Ukifika muda wa chakula cha mchana “lunch” imeisha au ukiweka unyunyu ghafla imeisha dondoo hizi zinaweza kukusaidia. Kama mtaalamu wa Urembo mmoja anavyosema, Joanne Dodds ” Tunapenda kunukia vizuri siku nzima, Wakati mwengine unyunyu wako unapotea pale tu unapomaliza kuweka ” Ni vile Unatakiwa kujua uweke sehemu gani na uwekeje na uihifadhi vipi. Ukijua Utaweza kutumia vizuri unyunyu wako bila ya kuoga “perfume”. Soma yafuatayo kujua mabadiliko utakayoyapata 

Paka mafuta ya Vaseline

Sehemu Kama Shingo, ndani ya viwiko, nyuma ya magoti, kwenye viganja vya mikono. Mafuta haya yataweza kuhifadhi perfume yako kwa muda mrefu.

 
Spray brush yako ya nywele. 

Alcohol iliyokuwepo kwenye perfume inaweza kukausha nywele zako, Usiweke moja kwa moja ” directly” Badala yake spray brush yako ya nywele kidogo tu ama Ununue “hair perfumes ” ambayo imetengenezwa maalum kwa ajili ya nywele. Nywele husaidia kuhifadhi harufu ya unyunyu wako. 
3 Usihifadhi Bafuni. Unyevunyevu unaopatikana Bafuni utaharibu perfume yako na kupunguza ubora wake pamoja na Jinsi inayonukia, hifadhi Chumbani kwako. 

Moisturize ngozi yako. 

ukiweka moisturizer kwenye mwili utakuwa na unyevunyevu na hivyo perfume yako itatunzwa muda mrefu. 
5. Vaa perfume yako Wakati sahihi. ngozi yenye unyevunyevu inahifadhi perfume Ila ukivaa nguo zako muda mchache baada ya kuweka perfume yako itafutika. subiri dakika chache ikauke. 

Usisugue viganja vyako

msuguano utaondoa perfume yako haraka. Don’t Rub Wrists Together, Friction will cause the top notes of the perfume to fade faster and your perfume won’t last as long.

Unapotaka kuspray perfume yako spray kwenye hewa,

spray kwenye hewa Kisha pita kwenye hewa hiyo Kwa kufanya hivyo perfume yako itadumu kwa muda mrefu. Badala ya kujipulizia kwenye nguo jipulizie mwilini na uone tofauti. 
Hapa pia Unatakiwa uzingatie kutumia perfume yenye hali nzuri ki afya. Kwa sababu inachukua Sekunde 26 tu kipodozi chochote kuingia kwenye mzunguko wako wa Damu. Hakikisha watumia vipodozi salama. 


Jua Aina tofauti tofauti za perfume. 

perfume zenye label ” eau de cologne, eau de toilette”  zina kiasi kidogo cha mafuta na harufu kali kiasi. Zilizolebiwa ” eau de parfum, extract de parfum” ni kali zaidi na zinadumu Kwa muda mrefu. 

Fahamu Zaidi Kuhusu Perfume

Usitikise perfume yako

perfume imetengenezwa kutulia ukitikisa utaingiza hewa ndani na kupunguza ubora wake. 


Hifadhi Boksi Za perfume

Hifadhi perfume mbali na jua utaharibu perfume yako. Kuhifadhi kwenye boksi utatunza ubora wake 
Dondoo hizo zikusaidie kuvaa perfume yako kwa muda mrefu. 
Shea na uwapendao 
©binturembo 

Related posts

2 Comments

  1. buy winchester arms

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/dondoo/dondoo-za-kufanya-unyunyu-perfume-wako-udumu-kwa-muda-mrefu/ […]

  2. go here

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/dondoo/dondoo-za-kufanya-unyunyu-perfume-wako-udumu-kwa-muda-mrefu/ […]

Comments are closed.