gallery-1439753142-1436479636-upload

Wengi wetu huwa ina tulazimu kutembea na manukato kwenye mapochi ili kuweza kujipulizia kila unapo hisi manukato yako hayanukii tena mwilini, hii inapelekea kununua manukato mara kwa mara lakini kumbe ukipaka manukato yako nyuma ya masikio,kwenye nywele, kwenye kitovu, nyuma ya goti, na  kwenye kikonyo cha mkono manukato yako yata weza kunukia siku nzima.

kwanini? kwa sababu sehemu hizo zina joto kwaio hufanya manukato kukaa kwa muda mrefu