SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

FANYA HAYA KULINDA VIATU VYAKO
Dondoo

FANYA HAYA KULINDA VIATU VYAKO 

Tunapenda viatu vyetu ila kuna visababu vidogo vidogo ambavyo vinaweza vikasababisha usivae viatu vyako au ukavaa huku vinakuumiza kwa sababu ya mapenzi tu uliyo nayo juu yake. Hizi ni Hacks ambazo zinaweza kukusaidia kujilinda na maumivu  au hata kulinda viatu vyako.

  • Viatu vipya vya kuingiza viwe virefu au vifupi huumiza sana huku nyuma juu ya kisigino, Tumia clear deodorant kupaka nyuma ya kiatu ili kuweza kuzuia miwasho au maumivu hayo

 

Deodorant-an

  • Viatu vya kutumbukiza vina mtindo wa kuumiza vidole vya mbele tumia sellotape kuvibana kidole cha tatu na cha nne vya miguu kupunguza maumivu hayo, hii hutokana na mguu kuwa mpana kuliko viatu ukivibana unasababisha upana wa vidole kupungua na kuacha nafasi kwa kidole cha mwisho kuenea.

Park_Avenue_Blowdry_Bar_blog+copy

  • Kuna viatu huwa vina teleza kwenye soli ili kukusave usianguke au kutereza sehemu na kutia aibu jaribu kusugua soli kwa msasa ili kutoa ile soli ya juu inayo teleza

shoewithscissorssandpaper

  • Kama viatu vyako virefu vimeisha katika kisigino chake nunua Kofia za viatu ina saidia kuleta upya katika kiatu chako

TB-Lucza-Guest-Styling-v2

  • Viatu vikikubana vika kuumiza na kusababisha malenge lenge ambayo huwa yanaleta maumivu makali na wengi huwa hatujui tiba yake, Tiba ni Kuweka chai ya kijani (green tea) kwenye maji ya uvugu vugu kisha ukatumbukiza miguu utashangazwa na jinsi inavyo fanya kazi (miujiza)

slide_232897_1100352_free

Related posts

5 Comments

  1. ฝาก ถอนเงิน สล็อตวอเลท ไม่มีขั้นต่ำ

    … [Trackback]

    […] Here you will find 10599 additional Information to that Topic: afroswagga.com/dondoo/fanya-haya-kulinda-viatu-vyako/ […]

  2. polka dot mushroom bar

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/dondoo/fanya-haya-kulinda-viatu-vyako/ […]

  3. 다시보기

    … [Trackback]

    […] There you will find 37583 additional Info to that Topic: afroswagga.com/dondoo/fanya-haya-kulinda-viatu-vyako/ […]

  4. 뉴토끼

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/dondoo/fanya-haya-kulinda-viatu-vyako/ […]

  5. Library

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/dondoo/fanya-haya-kulinda-viatu-vyako/ […]

Leave a Reply