Ni katikati ya mwezi na bado hela haija toka kununua mavazi mapya inawezekana una taka sana kwenda kwa wakati kwa kununua mavazi yaliyopo kwenye trend kwa sasa lakini ndio hivyo haiwezekani lakini pia ina wezekana kuna nguo huwa una vaa mara kwa mara kwa namna moja, yaani shati hili na suruali hili una rudia mara kwa mara na ina wezekana umechoka au watu washa ku kekremisha hivi ndivyo jinsi ya kufanya kulipa kabati lako au mavazi yako muonekano mpya na uonekane unaenda na wakati kila siku.
Jaribu kuchanganya rangi: kuna watu tumezoea rangi flani labda ukivaa nyeusi lazima uvae na nyeupe lakini kumbe unaweza kuvaa nyeusi na nyekundu na viatu vya blue, jaribu kuchanganya rangi upate mionekano mipya tofauti tofauti.
Ongezea urembo katika mavazi yako: kuna vitu ukiongezea katika mavazi vinakupa muonekano mpya kabisa kama bangili, cheni, mkoba au hata saa vinaweza kukusaidia katika kulipa vazi lako muonekano wa tofauti.
Koti: ni muhimu kuwa na makoti aina mbali mbali na rangi mbali mbali, koti husaidia kubadilisha muonekano, hukupa muonekano makini zaidi na husaidia kulipa vazi lako muonekano mpya
yakinisha vazi lako na kiatu chako: kuyakinisha viatu na vazi pia husaidia kulipa vazi lako muonekano mpya na safi.
Related posts
7 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 79554 more Info on that Topic: afroswagga.com/dondoo/fanya-haya-kuonekana-mpya-kila-mara/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/dondoo/fanya-haya-kuonekana-mpya-kila-mara/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/dondoo/fanya-haya-kuonekana-mpya-kila-mara/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 72351 more Info on that Topic: afroswagga.com/dondoo/fanya-haya-kuonekana-mpya-kila-mara/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/dondoo/fanya-haya-kuonekana-mpya-kila-mara/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/dondoo/fanya-haya-kuonekana-mpya-kila-mara/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/dondoo/fanya-haya-kuonekana-mpya-kila-mara/ […]