Samichepi ni binti wa miaka 19, sisi tumemjua kutoka mtandao wa instagram ambapo ana wafuasi 105,000/- mpaka sasa, kwa mtu wa kawaida kuwa na followers laki na kuendelea kwa kufanya biashara tu ni jambo kubwa. Samichepi alianza na biashara ya kuuza bidhaa za urembo ambazo ni za kwake lakini kwa sasa ana fanya biashara ya vito, tuliona bidhaa nyingi kwake ikiwepo green tea na matcha kutokana na hili swala la wanawake kutaka kupungua uzito na matumbo ime tufanya tumtafute na kumuuliza kuhusu maswala machache ambayo tulidhani yatawanufaisha na ninyi
Afroswagga – tofauti Ya Green Tea Na Majani Mengine
Samichepi- Green Tea has like 2 types. Matcha and normal green tea leaves.
Then you have normal tea leaves and herbs.
The only difference that makes green tea outstanding is that it has a lot more to offer than other teas, because it’s not just for weight loss. It’s for your entire body/system. Matcha has been proved that it can prevent cancer, and also size down fibroids, matcha controls blood pressure and eliminates cholesterol and so much more, so it’s not only for burning fat but also for the wellness of the mind and body.
Matcha has more chlorophyll and antioxidants considering it has not been dried up into tea leaves, it has been grinded into fine powder so it has more of the nutrients.
Majani mengine, mostly chinese herbs, they just help with metabolism and burning of fat which in real sense, can be obtained by eating certain types of food and so forth. With other teas, the results are short term. Unlike matcha, it doesn’t matter if you work out twice a day or never, it doesn’t matter if you eat cake because certainly you can have matcha cake, it’s something that you can eat almost all the time compared to tea, where you only drink it when you can probably twice a day, and if your junk intake is high pr your metabolism is slow that means the tea will work slowly, unlike green tea, it doesn’t matter kivile
Afroswagga – Inafanyaje Kazi?
Samichepi – Matcha contains EGCG, they help in weight loss and reduction of body fat
It is also used to treat diabetes and is reported to have glucose-lowering effects. In addition, glucose can cause a person to feel hungry, and by controlling insulin levels, you control appetite And some other things I have not researched in deep but this is the most important par Other teas, just work by burning fat and clearing toxins, most of them work by diarrhoea-if the tea has a laxative. But it only burns fat in a certain area, it’s not an overall kind of thing
Afroswagga – Kweli Ina Punguza Uzito?
Samichepi – Yes, it does work, sema inabidi uwe patient and inabidi uelewe unafanya nini. Watu wanaweza kunywa pombe, wanakula nyama choma, kiti moto sijui nini, hawafanyi mazoezi and they think tea or matcha can solve their problem in a month. Hata Yesu hawezi kufanya miujiza ya kiasi hicho
Afroswagga – Kuna Matumizi Tofauti Ya Kupunguza Uzito Na Tumbo Au Ni Saw a?
Samichepi – They say different strokes for different folks. What works for one person barely works for the other. Cha muhimu ni intake yako lazima iwe reasonable. Meaning at least having 1 to3 litres of matcha or tea in general per day can help boost your metabolism, so then your food digests faster and you burn more food, fat haikai tu kwenye belly stagnant Most importantly it’s not how you use the tea/green tea, it is how you use everything else from what you drink, what you eat, how you eat etc
afroswagga – does the brand of green tea matter? au unaweza kutumia yoyote? Kama Brand Matters Then Niangalie Kitu Gani Wakati Wa Kununua Kujua Haya Yanafaa Haya Hayafai
Samichepi -Honestly it doesn’t matter, However, kuna brands nyingi, I myself sell matcha but it’s like I use it in my personal life so it is good for me, some brands are good, but most of the time they are overpriced.
Kuna Japanese matcha and Chinese matcha.
They all work, hakuna yenye any special features, it is only that Japanese matcha has less iron and I am not sure what other element inayo less than Chinese lakini otherwise, vitu vingine ni propaganda tu and if you just want to lose weight, it’s best to opt for the Chinese one mainly because Japanese BARELY exports their matcha because Chinese and Japanese take matcha as a traditional thing, they even have a special way of taking it and a ceremony kabisa, it’s that important to them, so mpaka upate, it’s expensive, so if you’re to choose, choose Chinese, you get more in the long run and kuna rare cases of side effects and stuff like that
Afroswagga – Naweza Kuitumia Na Maji Ya Baridi?
Samichepi – Yes, iced green tea, Iced matcha latte Hata ukiweka maziwa na whipped cream, ni sawa tu
Afroswagga – Namna Ya Kuiandaa Kwa Ajili Ya Kupunguza Uzito
Samichepi – Matcha- 1/4 teaspoon in whatever you take- be it milk, smoothie, milkshake, water, pizza, donut, cake topping etc it’s versatile, unaweka kwenye chochote
For chai za kawaida- tea bag in 1 litre water, let it steep, then drink throughout the day, replace sugar with honey, try adding lemon, Cinnamon and ginger possibly mint or sage if you prefer extras
Lakini most slimming teas come with weird tastes, not our brand lakini I have had funky teas these past few years, the worst was orange flavour. Never again. So adding spices or herbs will create a bomb
Afroswagga – Inahitajika Kunyweka Mara Ngapi? Na Muda Gani
Samichepi – Fanya iwe kama lifestyle, sio kama dawa ya malaria you know? Drink it while you can until it becomes a part of your routine. All the time if not most of the time. Because you are working on your wellbeing as well, mpaka ufike point ya kutaka kulose weight or burn extra calories that means mwili umejaa toxins na takataka kibao, so if you really love and care for yourself you’ll try to have it from when you wake up, just like how you have breakfast, switch coffee with green tea or whatever herbal tea you use, switch boxed juice with fresh juice with matcha in it, and stuff like that
Kila picha ambayo tumetumia hapo inatoka kwa samichepi, unamweza kumfollow instagram @samichepi au duka lake @samichepi.hq au unaweza ingia katika blog yake hapa samichepijewerly.com , anavitu vingi vya urembo na kwanini tusim support binti wa miaka 19 anaye fanya makubwa na anatoke hapa hapa Tanzania?
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/dondoo/green-tea-benefits-on-weight-loss-with-samichepi/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/dondoo/green-tea-benefits-on-weight-loss-with-samichepi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/dondoo/green-tea-benefits-on-weight-loss-with-samichepi/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 52540 more Info to that Topic: afroswagga.com/dondoo/green-tea-benefits-on-weight-loss-with-samichepi/ […]