SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

HOW DO CELEBRITIES LOSE BABY WEIGH SO FAST?
Afya

HOW DO CELEBRITIES LOSE BABY WEIGH SO FAST? 

Kwa sasa ime kuwa kama Fashion watu maarufu kupungua uzito baada ya kujifungua. Ni kitu ambacho kila mwanamke Duniani ange penda afanye maana baada ya kujifungua zile supu supu na mtori huwa zina nenepesha mno na hata kabla ya kujifungua zile hamu hamu za kula zina ongeza kilo, Lakini tume ona watu kama Beyonce, Kim Kardashian, Kelly Rowland na wengine wengi waki jifungua na kurudi kwenye formation kama zamani huwa tuna baki kujiuliza wame fanyaje? ina wezekanaje?

blac-chyna-maternitry-sheer-dress-spl-ftr

Ki ukweli mtu ambae tume muona at least akionyesha jinsi ambavyo ana punguza uzito wake ni Kim Kardashian alipo jifungua saint alikuwa ana onyesha series za matukio akiwa gym akijaribu kupungua na well akafanikiwa, lakini Black Chyna yeye ame toa uzito wake ndani ya one week karudi in shape hii ime tuweka kwenye maswali  mmh HOW? Hatutaki kuamini kama ni Flat tummy tea anayo itumia au ndio kama Huddah alivyo sema wana fanyiwa operation na kuondolewa mafuta mara baada ya kujifungua? Kwetu tuna hitaji kusema kwa wale wenzetu na sie usi look upon Chyna au Beyonce au Kim Kardashian kwa sababu hatujui nyuma ya pazia kuna nini wana fanya, kama una taka kurudi katika shape baada ya kujifungua hizi ni

blac-chyna-post-dream-weight-loss-pics-ffn tips chache ambazo zina weza kukusaidia.

AMKA NA FANYA MAZOEZI

Wanawake wakisha jifungua wana kuwa wazito, uvivu na kujisikia kulala na kupumzika ni kawaida lakini jitaidi uwe una amka na kutembea angalau kwa dakika 20-30 mara 3 au 5 kwa week itasaidia kupunguza uzito wako

NYONYESHA

kunyonyesha kuna saidia kuondoa 600 to 800 calories kwa siku, kwaio mnyonyeshe mwanao kadri uwezavyo na jitaidi baada ya kumuachisha nyonyo utengeneze diet nzuri ili usijivuruge

KULA VYAKULA VYENYE AFYA

achana na manyama nyama yenye mafuta jaribu kula vyakula vyenye vitamins zote hii ina saidia pia kupunguza uzito baada ya kujifungua

Related posts