SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

HOW TO SAVE ON A NATURAL HAIR – @NATURALHAIRTANZANIA
Dondoo

HOW TO SAVE ON A NATURAL HAIR – @NATURALHAIRTANZANIA 

Kama una natural hair hii ni kwa ajili yako, jinsi ya ku save hela kwa kutengeneza hii homemade leave in conditioner ambayo inaweza kukaa kwa wiki mbili tu lakini ni very useful na rahisi kutengeneza

Utahitaji
●bamia 5
●Grapseed oil (oil of ur choice)
●Vikombe viwili vya maji safi


■Kata bamia vipande vidogo vidogo km vya kupika mrenda lol changanya na maji kikombe kimoja na nusu weka jikoni acha vichemke km dakika 15 ■weka maji yaliyobaki  na uweke tena jikoni kwa dakika 5 ,epua acha zipoe  weka sehemu kwa siku moja.


■Chuja vizuri siku ya pili  ili kutenganisha bamia halafu changanya na 1/3 ya mafuta  km una essential oils unaweza kuchanganya drops tu.
NB:
Shake well every time you use it

kwa more useful tips kama hizi kwa ajili ya natural hair zako, wafollow instagram @naturalhairtanzania

Related posts

2 Comments

  1. 琴音ありさ

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/dondoo/how-to-save-on-a-natural-hair-naturalhairtanzania/ […]

  2. molly drug in england,

    … [Trackback]

    […] There you will find 93075 more Info on that Topic: afroswagga.com/dondoo/how-to-save-on-a-natural-hair-naturalhairtanzania/ […]

Leave a Reply