SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

JINSI YA KULIPA KABATI LAKO NAFASI
Dondoo

JINSI YA KULIPA KABATI LAKO NAFASI 

Kuna wale wenzetu na sie ambao wana makabati madogo na nguo ni nyingi basi utakuta nguo zipo kwenye ma rambo au ma dustbin na chumba kinakua kidogo kwa kujaza mavitu haya ndio unayo takiwa kufanya ili kulipa kabati lako nafasi na kuweza kutoshea vitu vyako.

1)Tupa/Gawa nguo ambazo huzitumii tena eidha ziwe zime pitwa na wakati, hazikutoshi kubwa/ndogo au unaipendaga tu for no reason lakini huitumii, hii itasaidia kuwa na zile chache ambazo zitafit katika kabati lako dogo

143

2)Ondoa mazaga zaga yote yasioyo na kazi katika kabati, kuna vitu kama hangers ambazo hazija tundikiwa nguo au ma box ambayo ndani yake hamna kitu/au yana vitu lakini ni vya zamani mno ondoa utupe au ugawe, ili upate nafasi ya kuweka vile vya muhimu kabatini mwako.

3) kumbuka kutumia sehemu ya juu ya kabati na ya chini, zipo ili zitumiwe na si kwa ajili ya mapambo, juu unaweza kuweka mikoba na chini ukaweka viatu.

4)Tumia Milango unaweza kutundika scarf,khanga au hata tai katika milango ya kabati.

5)Endelea na utamaduni wa kutupa kitu cha zamani kila mara unapo ingiza kingine kipya.

Related posts

3 Comments

 1. rich89bet

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/dondoo/jinsi-ya-kulipa-kabati-lako-nafasi/ […]

 2. Pink Zkittlez 3.5g Flower

  … [Trackback]

  […] Here you can find 56818 more Info to that Topic: afroswagga.com/dondoo/jinsi-ya-kulipa-kabati-lako-nafasi/ […]

 3. ufabtb

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/dondoo/jinsi-ya-kulipa-kabati-lako-nafasi/ […]

Leave a Reply