Magaga hutokana na ukavu wa ngozi, japo hayaumi na hayana madhara makubwa lakini ukiwa na magaga unapata tabu sana kuvaa viatu vya wazi kwa sababu ya aibu, hizi ni njia tatu za kuweza kuondoa magaga
SCRUB
kabla ya kwenda kulala scrub miguu yako kwa kufanya hivi
- chemsha maji yawe ya uvugu vugu
- mimina kwenye beseni
- weka sabuni katika maji yako
- na tumbukiza miguu kisha uanze kusugua kama na jiwe au brush
- ukimaliza kausha miguu na kitambaa kikavu na upake mafuta kisha vaa socks ulale nazo usiku mzima
- fanya hivi kila siku mpaka magaga yatakapo isha
MAJI YA LIMAO
- kata limao vipande viwili
- chukua kimoja na uanze ku sugua katika magaga yako hakikisha maji ya limao yana ingia au kupita katika magaga yako
- fanya hivi kwa muda usio pungua dakika tano
- kisha sugua magaga yako kwa brush/jiwe
- na uoshe miguu yako
OLIVE OIL
- paka mafuta ya olive katika pamba
- anza kusugua katika magaga yako kwa mfumo wa duara kwa dk15-20
- vaa socks na iache kwa lisaa limoja
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…