SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

JINSI YA KUONEKANA FABULOUS BILA YA KUVAA HEELS
Dondoo

JINSI YA KUONEKANA FABULOUS BILA YA KUVAA HEELS 

Kuna watu wawili humu Duniani wanao weza kuvaa heels hata wakiwa wanaenda sokoni na wale ambao hawawezi kuvaa heels hata wakiwa wanaenda harusi, kiukweli binadamu hatufanani lakini haimaanishi kama huwezi kuvaa heels basi huwezi kupendeza. Unaweza kuvaa flats na bado ukapendeza kuliko mwenye heels japo heels pia zina weza kuubeba mtoko wako kwa namna moja au nyingine.

Hizi ni tips zinazo weza kukusaidia kama wewe si mpenzi wa heels

Beige Flats:hizi flats zipo very chic una weza kuvaa kazini, in business meeting au hata date

Ballet Flats : hizi zipo for ages kama una tafuta au una taka kuonekana polished, ballet flats ndio jibu lako, tafuta rangi nzuri kama nude, nyeusi au cream una weza kuvalia vyovyote casual, office wear etc.

Pointed Toe Print Flats – hizi ni zile zilizo chongoka kidogo mbele na zina prints mostly huwa ni Leopard Print Flats hizi ni must haves kwa kila mwanadada tuna weza kusema they can fit every where kasoro kwenye red carpet

kama haupo vizuri na heels don’t force it una weza kuvaa flats na ukapendeza tuliuliza hili swali Instagram na kwa bahati nzuri tulipata watu mbali mbali walio share tips na sisi unaweza kusoma hapo chini pia tembelea ukurasa wetu wa Instagram @afroswagga

thanks us later

 

Related posts

3 Comments

 1. superslot

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/dondoo/jinsi-ya-kuonekana-fabulous-bila-ya-kuvaa-heels/ […]

 2. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Here you will find 36931 additional Info to that Topic: afroswagga.com/dondoo/jinsi-ya-kuonekana-fabulous-bila-ya-kuvaa-heels/ […]

 3. 다시보기

  … [Trackback]

  […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/dondoo/jinsi-ya-kuonekana-fabulous-bila-ya-kuvaa-heels/ […]

Leave a Reply