SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

JINSI YA KUZUIA UNUKAJI WA MIGUU
Dondoo

JINSI YA KUZUIA UNUKAJI WA MIGUU 

Miguu au viatu kunuka hutokana na jasho katika miguu, hasa pale ambapo mvaaji wa viatu hivyo hurudia kuvaa viatu mara kwa mara bila ya kuvisafisha.

Viatu/Miguu kunuka ni aibu kwa pande zote mbili mwanamke na mwanaume, mara nyingi hali hii hutokea kwa vijana na wamama wajawazito kwa sababu ya mabadiliko ya homoni na kufanya damu ichemke mpaka miguu kutoa jasho.

jinsi ya kutibu miguu inayo nuka

  • usivae kiatu pea moja kila siku jaribu kubadilisha viatu hili kuweza kuvipa muda vile vingine vikauke.
  • Osha na kausha miguu yako kabla ya kuvaa viatu
  • vaa socks safi kila siku (cotton sio nylon)
  • kata kucha pamoja na kusugua miguu yako mara kwa mara

RDH0024_smelly_feet_foot_bath

njia nyingine za kutibu harufu mbaya miguuni

  • chemsha maji yawe ya uvugu vugu, kisha weka kwenye beseni na umimine kiasi cha chumvi, tumbikiza miguu yako na ukae kwa muda wa dakika 20 kisha toa kausha miguu. Fanya hivi mara mbili kila siku kwa muda wa wiki mbili.
  • Chemsha maji na weka majani ya chai kiasi (kama ambavyo una chemsha chai), weka maji ya baridi kidogo ili kupooza umoto wa maji yenye majani ya chai, ingiza miguu yako iache ikae kwa muda wa dakika 30. Toa miguu ikaushe fanya hivi mara moja kila siku kwa muda wa wiki moja.
  • vaa viatu vya ngozi au canvas, usivae vya nylon maana huleta joto na kusababisha miguu kutoa jasho
  • vaa viatu vya wazi kipind cha joto na tumia muda mwingi peku ukiwa nyumbani

 

 

Related posts

4 Comments

  1. Buy Magic Mushroom in Brisbane

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/dondoo/jinsi-ya-kuzuia-unukaji-wa-miguu/ […]

  2. usdt

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/dondoo/jinsi-ya-kuzuia-unukaji-wa-miguu/ […]

  3. Residual income

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/dondoo/jinsi-ya-kuzuia-unukaji-wa-miguu/ […]

  4. sluggers preroll https://exotichousedispensary.com/product/sluggerz-prerolls/

    … [Trackback]

    […] Here you can find 85727 more Information on that Topic: afroswagga.com/dondoo/jinsi-ya-kuzuia-unukaji-wa-miguu/ […]

Leave a Reply