Viatu virefuĀ  vina uzuri na ubaya wake, lakini baya kubwa ni yale maumivu ambayo yanaweza kukusabishia madhara mwilini, kuna wengine ambao wanauwezo wa kununua Heel Pads na kukabiliana na maumivu haya lakini kuna wengine ambao hawawezi, hizi ni njia za kukabiliana na heel pain kiasili,

1) Barafu- tumia barafu kuweka kwenye sehemu ya maumivu weka katina sehemu hiyo kwa dakika 10-15, husaidia kupunguza maumivu.

2) massage– chukua mafuta ya uvugu vugu,paka kwenye mikono kisha kwa kutumia vidole gumba vyako massage sehemu yenye maumivu kwa dakika kumi rudia hivi mara nyingi uwezavyo.

3)Apple Cider Vinegar- apple-cider-vinegar-b-optchukua mafuta ya apple side vinegar na uyapashe moto

 

  • kisha chukua nguo yoyote safi chovya katika mafuta,
  • toa ile nguo na ufunge kwenye sehemu yenye maumivu tumia taulo kufunga vizuri hio nguo yenye mafuta ili uvugu vugu ukae kwa muda mrefu,
  • iache kwa muda wa dakika 10-20. rudia mara nyingi uwezavyo