SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Matumizi Ya Loop / Vikamba Vya Ndani Ya Nguo
AfroTipAndTricks

Matumizi Ya Loop / Vikamba Vya Ndani Ya Nguo 

Inawezekana umeshawahi kukutana na hivi vikamba ambavyo vinawekwa ndani ya nguo na ukawa huelewi vinakazi gani. Huwa vinakera na wengi wetu huwa tunaishia kuvikata.

Well vikamba hivi vinatumika katika kuning’inizia nguo katika hanger, kama vazi lako ni strapless, sleeveless, off shoulder, skirt au suruali basi vikamba hivi huwekwa kusaidia kulining’iniza katika hanger.

Japo huwa vinawekwa kwenye mavazi mengine pia kama suruali au tshirt kazi yake bado inabaki kuwa ileile.

Well Kama Hukuwa Unajua #NowYouKnow.

Related posts

5 Comments

 1. how to download youtube videos

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/dondoo/matumizi-ya-loop-vikamba-vya-ndani-ya-nguo/ […]

 2. Continue

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/dondoo/matumizi-ya-loop-vikamba-vya-ndani-ya-nguo/ […]

 3. phentermine weight loss review​

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/dondoo/matumizi-ya-loop-vikamba-vya-ndani-ya-nguo/ […]

 4. click now

  … [Trackback]

  […] Here you can find 64643 more Info on that Topic: afroswagga.com/dondoo/matumizi-ya-loop-vikamba-vya-ndani-ya-nguo/ […]

 5. https://nchc.org/nutrition/weight-management/phenq-reviews/

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/dondoo/matumizi-ya-loop-vikamba-vya-ndani-ya-nguo/ […]

Comments are closed.