SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MOTISHA: SAFARI YA  LOUIS VUITTON
Dondoo

MOTISHA: SAFARI YA LOUIS VUITTON 

Lois Vuitton ni mbunifu aliye zaliwa France 4/8 1821, akiwa na umri wa miaka 10 mama yake alifariki. Alihamia paris akiwa na umri wa  miaka 13 baada ya matatizo ya kifamilia yaliyo letwa na mama yake wa kambo,Luis alitoka france mpaka Paris kwa miguu. Alitembea 292-mile na alifika Paris mwaka 1837 akiwa na umri wa miaka 16 alikula na kulala popote ilimchukua miaka miwili kupata kazi yenye heshima ambapo alikuwa mtengenezaji na mpakiaji ma box, mwaka 1852 Loius Vuitton aliajiriwa na mke wa Napoleon ambae alikua akiitwa Eugenie de Montijo kama mtengenezaji na mpakiaji mabox wake binafsi.

LV-1821

Mwaka 1854 ulikua ni mwaka wa mabadiliko na kukua Louis alipata mchumba aitwae Clemence-Emilie Parriaux ambae alimuoa  22/4/ 1854. Louis aliacha kazi alipokwa ana fanya kazi mwanzo na kufungua duka lake la kutengeneza na kupakia ma box nje ya duka  kulikua na bango lililo andikwa “Securely packs the most fragile objects.Specializing in packing fashions.”

Mwaka 1870,biashara yake iliharibika baada ya kutokea vita, vitu vyake viliibiwa na vingine kuharibika lakini Louis hakukata tamaa alianzisha tena biashara yake na safari hii aliiboresha zaidi ambapo alibuni ma box yenye ubora na design tofauti tofauti ya kuwekea nguo na hapo ndipo lebo ya Louis Vuitton ilipo zaliwa tena.

Louis alifariki miaka 20 mbele akiwa na miaka 70 lakini biashara yake haikufa aliirithi mwanae ambapo mpaka sasa wana tengeneza ma begi aina mbali mbali ya mikononi pia ya kusafiria pia mikanda, vitau na nguo mpaka sasa Lv ni brand kubwa na inayo heshimika duniani.

“NDOTO HUWA KWELI PALE TU UNAPO AMUA KUIFANYIA KAZI, USIKATE TAMAA”

Related posts

3 Comments

  1. แทงบอล

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/dondoo/motisha-safari-ya-louis-vuitton/ […]

  2. DMT vape pen for sale online New South Wales

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/dondoo/motisha-safari-ya-louis-vuitton/ […]

  3. Cambodian, Cambodian Cubensis,

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/dondoo/motisha-safari-ya-louis-vuitton/ […]

Leave a Reply