SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MPANGILIO KATIKA MKOBA
Dondoo

MPANGILIO KATIKA MKOBA 

Wanawake wengi hupata shida pale wanapo taka kupangilia mikoba yao, kwa kutokujua kipi wakiweke wapi na wapi pakae nini. Mara nyingi hupoteza vitu kama pini,chupio kwa kuviweka vibaya na kuna wakati hadi una hisi aibu kufungua mkoba wako mbele za watu kwa sababu tu ya mpangilio mbaya uliopo ndani ya mkoba, hizi ni dondoo chache ya vipi unaweza kuuweka mkoba wako katika mpangilio mzuri na safi.

1) Toa vitu vyote katika mkoba wako

PurseChallenge1

2) Tofautisha vitu vyako katika makundi mawili (a) vitu ambavyo unaumuhimu navyo kila siku (b) vya ziada ikitokea dharura

Sorted_after-822x1024

3) Weka vitu vyenye uiano katika mifuko tofauti kama unayo mfano: make up,lipstick,wanja,powder vikae kwenye mfuko mmoja. vitana,vibanio,bangili, mfuko mwingine nakadhalika. Hii itakufanya upunguze wingi wa makorokoro kwenye mkoba wako na kuachia nafasi ya vitu vingine.

After_containerized-752x1024

4) Mpangilio wa mkoba wako una tegemea na jinsi ya mahitaji ya vitu vyako na namna ya kuvipata haraka. Vitu kama simu, na funguo zina takiwa kuwa katika mifuko ya mbele ili kuvipata kirahisi na haraka.

Ready-Freddy-copy-768x1024

Related posts

2 Comments

  1. learn this here now

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/dondoo/mpangilio-katika-mkoba/ […]

  2. alaskan amateur bbw bbc hidden cam fuck

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/dondoo/mpangilio-katika-mkoba/ […]

Leave a Reply