SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MUHIMU KUWA NAVYO MSIMU HUU
Dondoo

MUHIMU KUWA NAVYO MSIMU HUU 

Misimu ya hali ya hewa inabadilika lakini haimaanishi usiwe kimitindo zaidi. Msimu huu wa joto ni rahisi kidogo kuwa kimitindo kwa sababu vitu vinavyo beba neno Mitindo vinakua vinapatikana kwa urahisi. zifuatazo ni Dondoo za nini uwe nacho katika msimu huu:

1)Suruali zisizo bana (bwanga) ni muhimu kuwa nayo katika msimu wa joto hasa ikiwa ya kitambaa, unaweza kuivaa na vest  kama unatokea usiku si mbaya ukavalia na viatu virefu na kijikoti chepesi lakini kama mchana unaweza kuivaa tu na makobazi na vest   bila koti

index

2) Gauni la maua linakupa muonekano wa kiangazi zaidi na pia ni jepesi halikupi shida nalo halichagui kiatu aidha kirefu au kifupi litapendezea.

Evening-Print-dresses

3)Miwani Na Saa wakati wa kiangazi unahitaji miwani hasa ya rangi ili kujizuia na jua pia saa nzuri inapendezea zaidi ikiwa ya mikanda ya ngozi au plastiki ya chuma itakuunguza na jua.

Lotto-Wrist-Watch-Rebook-Sunglasses-Combo-at-Only-20120722101632

4) Pochi la kusuka (asili) hili muhimu kipindi hiki hasa kama utaenda nayo ufukweni ukiyakinisha na rangi yoyote uliyo ivaa siku hiyo.

woven-bag-1

 

Related posts

2 Comments

  1. the one up

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/dondoo/muhimu-kuwa-navyo-msimu-huu/ […]

  2. 다시보기 사이트 추천

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/dondoo/muhimu-kuwa-navyo-msimu-huu/ […]

Leave a Reply