SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Muongozo Wa Namna Ya Kumatch Viatu Pamoja Na Mavazi Yako
AfroTipAndTricks

Muongozo Wa Namna Ya Kumatch Viatu Pamoja Na Mavazi Yako 

Njia rahisi kabisa ambayo watu wengi huitumia katika mionekano yao ni ku-match mavazi yao na kitu kimoja wapo walichokivaa mfano: kumatch mavazi na pochi au viatu, unaweza kuona itakuwa too much lakini ni njia nzuri ya kufanya muonekano wako uonekane coordinated

Leo tunakupa muongozo wa nini ufanye ilikuondoa dhana ya kuonekana too much

  • Anza kwa kujua Season, Occasion, Formality & Activity

Unatakiwa kujua upo katika msimu gani, unaenda kwenye event gani, huko kwenye event theme ni nini na vitu gani utakuwa unafanya. Hii itakusaidia kujua unavaa flats au heels, lakini pia aina gani ya kiatu raba, ballet, open heels au pumps etc.

  • Uongeze Rangi Au Hapana?

Mara tu unapoamua aina sahihi ya kiatu kwa ajili ya mavazi yako, hatua inayofuata ni kuchagua rangi, rangi ya kiatu chako inaweza kutumika kusaidia ku-pull your outfit together from head to toe.

Hapa kuna machaguo mawili, kutumia neutral au solid colors

Kama outfit yako ina pattern ni vyema ukachagua rangi mojawapo kutoka katika hio pattern uvae kiatu cha rangi hio, kama outfit yako ina solid color mbili una machaguo mawili 1.) Uchague rangi moja wapo uvae kiatu cha rangi hio au 2.) Uvae kiatu ambacho kina neutral color, lakini pia unaweza kuvaa viatu na outfit ya rangi moja.

Kama umzuri kwenye kuchanganya patterns na rangi unaweza kuvaa vazi lenye solid color zaidi ya moja na viatu vyenye pattern & the vice versa.

  • Patten, Prints & Bling

Kuna viatu ambavyo vina pattern au prints au bling hapa ufanyeje? hapa unaweza kumatch the outfit to the shoe, ufanyaje? kama kiatu chenyewe ni statement na ungependa attention iende kwenye viatu basi chukua rangi moja kutoka kwenye kiatu uvalie kwenye mavazi

  • Matching Shoes With The Theme

Ukiachana ku-match viatu vyako na rangi fulani ya vazi lako ni vyema pia ukajua theme, mfano kama unavaa mavazi ambayo rangi zake zimepoa si mbaya kama utavaa viatu ambavyo rangi yake ime-pop





  • Kiatu kipi uvae kama hamna rangi ya kumechishia?

Ikiwa unapata wakati mgumu kuchagua rangi ili mechi na vazi lako, chagua kiatu cha rangi nude. Kiatu cha rangi ya nude kina paswa kufanana na rangi ya ngozi yako. Hii itasaidia pia kufanya uonekane mrefu.

Tuambie kwenye comment box wewe huwa unatumia tips gani ku-match outfit yako pamoja na viatu? na kama utatumia hizi tips usisite kututag katika post zako kwa kutumia #afrotipandtricks

Related posts

4 Comments

  1. Buy DMT online New South Wales

    … [Trackback]

    […] There you can find 48195 additional Info on that Topic: afroswagga.com/dondoo/muongozo-wa-namna-ya-kumatch-viatu-pamoja-na-mavazi-yako/ […]

  2. Bubble Tea

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/dondoo/muongozo-wa-namna-ya-kumatch-viatu-pamoja-na-mavazi-yako/ […]

  3. สินเชื่อโฉนดที่ดิน

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/dondoo/muongozo-wa-namna-ya-kumatch-viatu-pamoja-na-mavazi-yako/ […]

  4. Buy Bergara guns

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/dondoo/muongozo-wa-namna-ya-kumatch-viatu-pamoja-na-mavazi-yako/ […]

Comments are closed.