SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NAMNA 5 ZA KUPUNGUZA UZITO BILA KUTUMIA NGUVU
Dondoo

NAMNA 5 ZA KUPUNGUZA UZITO BILA KUTUMIA NGUVU 

Watu wengi wamekuwa wakitumia nguvu katika kupunguza uzito “miili”, wengine hufikia hatua ya kwenda kufanyiwa operation ya kupunguza manyama au kutumia dawa za kupunguza uzito. Japo pia ni njia zinazo saidia kupunguza uzito lakini zina madhara yake pia hupati nafasi ya kujua ni mwili upi una kupendeza na kuutaka zaidi. Dawa zina weza kukukondesha sana hadi ukajuta kuzitumia. Lakini njia hizi 5 zitakusaidia kupunguza mwili wako bila nguvu wala maumivu na utapata ule mwili uutakao na uupendao

1) Mazoezi

mazoezi husaidia kupunguza mwili huitaji kunyanyua vyuma au kufanya mazoezi mazito ili upungue mwili, una weza kukimbia, kuruka kamba au hata kutembea pia husaidia unacho takiwa kufocus nacho ni mazoezi ambayo yatakufanya utokwe na jasho.

Walking

2) USIACHE KUNYWA KIFUNGUA KINYWA “BREAKFAST”

Usiache kunywa kifungua kinywa asubuhi maana ndio mlo muhimu kabisa katika siku lakini hakikisha kifungua kinywa kiwe healthy yaani usile tu vyakula vya ajabu ajabu, hakikisha breakfast yako ian carbohydrates na  protein (kama mayai ya kuchemsha, maziwa au salad).

healthy-diet-tips-breakfast-ideas-toast-egg-coffee

 

3)KULA CHAKULA SALAMA

Jifunze kula chakula salama na chenye afya, usile vyakula vyenye mafuta, vilivyo sindikwa hivi husaidia kuongeza mafuta mwilini na kusababisha ongezeko la mwili na hata magonjwa. Tumia vyakula visivyo na mafuta mengi, mboga mboga na matunda.

healthy-lunch-2-cobb

4) KUNYWA MAJI

Kunywa maji mengi kutakusaidia kuto kuwa na hamu ya kula mara kwa mara hii itapunguza kasi ya ulaji wako ambapo itapelekea kupungua kwa mwili bila kupata madhara ya ain ayoyote

5) LALA VIZURI

Tumia muda wako wa kulala vyema ni vizuri ukapumzika kwa masaa 7-8 hii itakufanya uwe na amani, kuto kupumzika vizuri kuna weza kusababisha ushindwe kufanya mazoezi yako ipasavyo

sleeping

Related posts

2 Comments

  1. Pink Zkittlez 1g Diamonds

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/dondoo/namna-5-za-kunguza-uzito-bila-kutumia-nguvu/ […]

  2. Tampa Adult Cams

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/dondoo/namna-5-za-kunguza-uzito-bila-kutumia-nguvu/ […]

Leave a Reply