SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NAMNA NYINGINE ZA KUKAUSHA NYWELE BILA DRYER
Dondoo

NAMNA NYINGINE ZA KUKAUSHA NYWELE BILA DRYER 

Kuna wengine hawapendi tu moto wa dryer, wengine husema zina madhara lakini pia si nzuri kwa nywele unapo tumia dryer mara nyingi nyingi una dhoofisha nywele zako kuna njia hizi mbili kutoka kwa waalamu wa nywele kutoka Mexico na Jamaica wana sema ni nzuri kutumia

1) Mexico- wanawake wengi kutoka Mexico hutumia mataulo kukaushia nywele zao, yaani wakiziosha hufunga vizuri taulo na kwa nguvu huliacha mpaka pale nywele zitakapo kauka kabisa hii husaidia kufanya nywele zako kuwa smooth, strands na straight

black-woman-with-towel-on-the-head-lanczos3-1

2)Jamaica- hutumia rollers kubwa kukausha nywele zao wakisha osha wana funga rollers na kisha hukaa nazo tu kichwani zikauke na hewa, sio tu wana save nywele zao kwa kudhoofu na moto wa dryer bali pia hupata mawimbi mazuri kutokana na rollers walizo funga

3046761169_ba1652636b

Related posts

2 Comments

  1. youtube download video

    … [Trackback]

    […] There you can find 57111 additional Information on that Topic: afroswagga.com/dondoo/namna-nyingine-za-kukausha-nywele-bila-dryer/ […]

  2. Blue meanie magic mushroom

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/dondoo/namna-nyingine-za-kukausha-nywele-bila-dryer/ […]

Leave a Reply