Kusafisha Make up brushes zako mara kwa mara ni kitu cha muhimu sana kukifanya, hii ita kukwepesha na matatizo ya bacteria pia itakuwezesha kupaka make up yako vizuri, as ikiwa chafu bado una weza kupaka ikazidi au ika sababisha mikunjo mikunjo.
Hizi ni namna chache ambazo zina weza kukusaidia katika kusafisha make up brush zako
1) Si lazima ununue sabuni ya kusafishia make up brishes, una weza kutengeza mwenyewe nyumbani ili kuepuka gharama
- tumia dish soap (zile za kuoshea vyombo za maji (liquid dish soap)
- olive oil
fuata maelekezo katika picha
2)Diy make up bush cleaner well kuna zile make up brush cleaner huwa zina uzwa lakini kuna namna ya kufanya mwenyewe ukapata make up brush cleaner bila gharama
- sahani
- hot glue
fuata maelekezo chini
3) Tumia Liquid soap na kusafisha beauty blender yako, fanya hivi mara moja kwa week.
4)namna rahisi ya kukausha make up brush
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…