SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Namna Ya Kuangalia Mwili Wako Katika Mwezi Wa Ramadhani
Afya

Namna Ya Kuangalia Mwili Wako Katika Mwezi Wa Ramadhani 

Kuna watu wengi huwa wana sema nitapunguza ukifika mwezi mtukufu wa Ramadhani wakidhani kule kufunga kwa masaa kadhaa kuta punguza miili yao lakini kumbe una weza ukafunga na usipungue au ukazidi kunenepa yes una weza kushangaa au kudhani ni uongo lakini Mwezi Mtukufu ndio mwezi ambao watu huwa wana kula vitu vitamu na vyenye mafuta na nazi kwa wingi, hii ina weza kukufanya uongeze mwili au usipungue hata kidogo, Je nini ufanye kuangalia mwili wako usiongezeke katika mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani?

  • Fanya Mazoezi – jijengee kufanya mazoezi marahisi lisaa limoja kabla ya kufungua funga yako au masaa mawili baada ya kufturu, usifanye mazoezi mazito chagua mazoezi marahisi kama kuruka kamba, kukimbia umbali mfupi etc.

  • Fturu vyakula vyenye afya – kula matunda na mboga mboga kama iftar yako, wengi tuna penda zile sambusa nyama, mihogo ya nazi, tambi za sukari nk, lakini hivi vina weza kusababisha kuongezeka uzito jaribu katika kila mlo uwe na matunda na mboga mboga au fturu vitu visivyo na sukari nyingi na mafuta mengi.

  • Punguza unywaji wa kahawa – wengi tunakunywa kahawa kupunguza kuumwa kwa kichwa siku ya pili, lakini sio nzuri jaribu kunywa green tea au kikombe kimoja tu cha kahawa.
  • pata muda wa kupumzika/kulala – kwa sababu huwa tunaamka usiku kula daku na mchana kuna kupika wengi huwa hatupati usingizi unatakiwa jaribu kutafuta muda ulale/kupumzika hata kwa lisaa limoja tu kwa siku

  • Kunywa maji – jaribu kuwa una kunywa maji mengi mara baada ya kufungulia (glass 8 preferably)

Related posts

4 Comments

  1. Double Cup 1.2g Wax Infused Pre-Roll

    … [Trackback]

    […] Here you will find 44449 more Information to that Topic: afroswagga.com/dondoo/namna-ya-kuangalia-mwili-wako-katika-mwezi-wa-ramadhani/ […]

  2. Buy Psychedelics New South Wales

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/dondoo/namna-ya-kuangalia-mwili-wako-katika-mwezi-wa-ramadhani/ […]

  3. golden teacher mushroom shroomery,

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/dondoo/namna-ya-kuangalia-mwili-wako-katika-mwezi-wa-ramadhani/ […]

  4. สล็อต ฝากถอน true wallet เว็บตรง 888pg

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/dondoo/namna-ya-kuangalia-mwili-wako-katika-mwezi-wa-ramadhani/ […]

Leave a Reply