We all have lile weaving ambalo ni la muda mrefu, lime kakamaa, lime kauka, lime kuwa na vifundo ila tunalipenda na we still keep it tulionege tu labda siku moja tuta pata msaada wa nini cha kufanya kulirudisha katika hali yake ya kawaida na afro tunasema say no more maana tume jitaidi kupata tip ambayo itafanya kazi vizuri kabisa bila kuku cost hela nyingi
mahitaji
mafuta ya nazi
Leave In conditioner
maji, jiko,sufuria
kwanza uta chana weave/wig lako (finger dectangle) ni nzuri zaidi, kisha chemsha maji ingiza wig/weaving yako na uiache ichemke kwa dk 1-2 halafu itoe, kisha weka wig/weave kwenye mfuko na uweke leave in conditioner halafu ngunga mfuko na uiache kwa dk 30 na kuendelea toa na osha nywele yako kwa maji ya baridi ikaushe na your good to rock it again kwa maelezo zaidi tazama video hapo chini
Ps- hii ina fanya kazi vizuri kwa zile human hair
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…