SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NAMNA YA KUTUNZA NYWELE ZAKO
Dondoo

NAMNA YA KUTUNZA NYWELE ZAKO 

Mwezi Ramadhani watu wengi hufunga viremba ili kutokuonyesha nywele kama ambavo ina aminika kwamba kwa mwanamke kuonyesha nywele katika kipindi hiki ni kuto kujistiri, kukaa na kiremba muda mrefu kuna weza kuathiri nywele zako kama kukatika au kukauka kwa nywele, pia si tu kutokana na viremba bali pia nywele huwa na afya kutokana na milo mizuri kwaio kufunga kwa muda mrefu pia kuna weza kuathiri nywele zako.

leo tuna kuelezea jinsi ya kuzitunza nywele katika kipindi hiki cha mfungo

Kula vizuri

Pale unapo fungulia kula mboga mboga na kunywa maziwa au mtindi hii itasaidia kuzipa nywele zako afya.

Zijali

sio kwa sababu una funga basi hata mafuta usipake hapana, paka mafuta katika nywele zichane vizuri kisha funga kiremba chako

Suka

kama una ona zina kupa shida kila siku kuzichana na kisha kufunga kiremba ni ruksa kuzisuka hata minyoosho, hii itakusaidia ku save time na hata pia ukuaji wa nywele zako.

ziweke steaming

usitumie zile zenye kemikali, tumia steaming ambayo umeitengeneza kama ya yai na parachichi.

Related posts

4 Comments

 1. web design for online class

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/dondoo/namna-ya-kutunza-nywele-zako/ […]

 2. debt consolidation

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/dondoo/namna-ya-kutunza-nywele-zako/ […]

 3. mushroom chocolate bars Los Angeles

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/dondoo/namna-ya-kutunza-nywele-zako/ […]

 4. 토렌트

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/dondoo/namna-ya-kutunza-nywele-zako/ […]

Leave a Reply