SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Nini Chanzo Cha Kitambi Na Namna Ya Kukiondoa – 2
Afya

Nini Chanzo Cha Kitambi Na Namna Ya Kukiondoa – 2 

Habari Afromates ikiwa ni jumatano nyengine tukiwa katika muendelezo wa makala yetu tuliyoanza wiki iliyopita kuhusiana na swala zima la Kitambi, badala yakufahamu nini maana yake.

Tungependa kwenda moja kwa moja kuangazia nini sababu ya kitambi. Kama tulivyotanguliza wiki iliyopita kueleza kwamba vyakula ndio vichecho vikubwa vinavyopelekea  vitambi ,kama tunavyojua aina zote za vyakula vinahitajika kwenye mwili kwa kiasi maalumu ili kuweza ufanyaji kazi wa mwili kwa ufasaha ila vyakula hivyo hivyo endapo vitazidishwa kiwango kinachohitajika mwilini huleta madhara makubwa ikiwamo kitambi na maradhi kama shinikizo la damu (Blood Pressure) ongezeko la uzito kupita kiasi yani obesity.

Tutakuja kueleza zaidi huko mbeleni ni kiwango gani aina na wakati gani chakula gani kinahitajika mwilini. Kwasasa turudi kutazama sababu nyengine zinazopelekea kitambi tukianza na _Stress_ yani msongo wa mawazo wakati mwengine watu wamekua wakifanya diet nakulalamika badala ya kupungua hua wanaongezeka uzito zaidi na hii ni kutokana msongo wa mawazo unaosababishwa na kuwaza wanatakiwa kula nini wakati gani au kufikiria vyakula vyao wanavyotamani kula wakati huo ila inabidi kujizuia au stress za matatizo ya maisha ya kila siku .

 

 

Cortisol ni homoni inayozalishwa na glandi ya Adrenali glandi ambayo homoni hii hujulikana kwa jina lengine kama “Stress Hormone ” na huzalishwa zaidi wakati mtu akiwa katika hali ya msongo wa mawazo .

 

Wakati mtu anapitia hiki kipindi mara nyingi hua anakua hayupo physically Active  nakupelekea mwili kuhifadhi FATS nyingi na ungezeko la mwili kutokana na kukaa muda mrefu akitafakari kuhusu jambo fulani na wakati huo cortisol homoni kiendelea kuzalishwa kwa wingi zaidi.

Namna ambavyo unaweza kupunguza HIGH CORTISOL (Stress Hormone)

 

Wiki ijayo tutaendelea na sehemu ya tatu ambayo tutaangalia sababu nyengine inayopelekea kitambi ,Ahsante .

Related posts

4 Comments

  1. Best Psychedelic Store Victoria

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/dondoo/nini-chanzo-cha-kitambi-na-namna-ya-kukiondoa-2/ […]

  2. buy benelli guns

    … [Trackback]

    […] There you will find 21961 more Information on that Topic: afroswagga.com/dondoo/nini-chanzo-cha-kitambi-na-namna-ya-kukiondoa-2/ […]

  3. assistência informática

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/dondoo/nini-chanzo-cha-kitambi-na-namna-ya-kukiondoa-2/ […]

  4. lash tech tweezers

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/dondoo/nini-chanzo-cha-kitambi-na-namna-ya-kukiondoa-2/ […]

Comments are closed.