SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Nini Chanzo Cha Kitambi Na Namna Ya Kukiondoa – 3
Afya

Nini Chanzo Cha Kitambi Na Namna Ya Kukiondoa – 3 

Habari Afromates, ni jumatano nyengine katika muendelezo wetu wa dondoo za afya ambapo tutaendelea na sababu nyengine inayosababisha ukuaji wa kitambi ambapo leo tutaangalia aina ya ulaji. Ambavyo vyakula vyote venye wanga hupelekea kuongeza uzito pia kitambi kwenye mwili.

Vyakula vyote vya wanga mwisho wa umeng’enyaji wake hubadilika kua sukari (Glucose,Fructose,Galactose) vyakula hivi pia mlaji anaweza kula kwa wingi sana bila kushiba maana umeng’enyaji wake hufanyika kwa haraka hivyo huleta hali ya njaa mara kwa mara na ongezeko la chakula huendana na ongezeko la mwili.

Pia vyakula vya Mafuta yani Fats hivi vinahitajika na mwili kwa kiasi kidogo sana maana huchukua muda mrefu sana kumeng’enyeka kwahiyo ulaji wa vyakula hivi kwa wingi hupelekea mwili kushindwa kufanya umeng’enyaji wake na masalia yake kubaki na kupelekea ongezeko la uzito na nyama sehemu za tumbo ambazo huonekana kama kitambi.

 

Ili kuzuia haya yote ni muhimu kula vyakula kwa usahihi wa vipimo vinahitajika na mwili ili umeng’enyaji wake ufanyike kwa wakati na kiwango sahihi. Pia ulaji wa matunda mengi na mbogamboga ili kusaidia umeng’enyaji wa chakula zaidi maji ya kutosha ambayo ndiyo mafuta yakuchochea ufanyaji wa kazi wa mwili wote.

Related posts

5 Comments

 1. auto locksmith

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/dondoo/nini-chanzo-cha-kitambi-na-namna-ya-kukiondoa-3/ […]

 2. สล็อตเกมส์

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/dondoo/nini-chanzo-cha-kitambi-na-namna-ya-kukiondoa-3/ […]

 3. image source

  … [Trackback]

  […] There you can find 51190 more Information on that Topic: afroswagga.com/dondoo/nini-chanzo-cha-kitambi-na-namna-ya-kukiondoa-3/ […]

 4. gasgang

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/dondoo/nini-chanzo-cha-kitambi-na-namna-ya-kukiondoa-3/ […]

 5. buy psilocybin mushrooms denver​

  … [Trackback]

  […] Here you will find 36121 additional Info on that Topic: afroswagga.com/dondoo/nini-chanzo-cha-kitambi-na-namna-ya-kukiondoa-3/ […]

Comments are closed.