Katika kipindi cha ramadhani unahitaji kuongeza juhudi katika kula chakula katika makundi yote matano ya chakula ili kuhakikisha aina na mpangilio wa chakula bora
Vyakula vya kula:
mikatenafaka na mazao mengine yenye nafaka
matunda na mboga mboga
nyama,samaki na kuku
maziwa,jibini na maziwa ya mgando
mafuta na sukari (hivi vina madini machache na karori nyingi hivyo ina paswa kuvitumia kwa uangalifu (wastani)
Vyakula vya kuepuka
Vyakula vya kuviepuka kula katika kipindi cha ramadhani ni vile vyakula ambavyo vime sindikwa kwa muda mrefu,vyakula vyenye sukari nyingi na ambavyo vina lainika haraka mfano;keki,bisikuti,pipi na chocoleti, pia ni muhimu kuepuka vinywaji vyenye caffeine kama,chai,kahawa na coka
Kula kiasi cha kawaida,kula vyakula vyenye lishe katika Iftar.
Epuka vyakula vyenye mafuta mengi,chumvi nyingi na sukari nyingi
Chagua mlo wenye matunda, mbogamboga, maharage, mchele, dengu na nafaka
Kunywa vimiminika vingi ila epuka vimiminika vyenye caffeine
Vunja funga yako/ anza kufungua funga yako na tende, muwa –vyakula vyenye sukari ya asili ndani yake
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/dondoo/nini-ule-katika-kipindi-hiki/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/dondoo/nini-ule-katika-kipindi-hiki/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/dondoo/nini-ule-katika-kipindi-hiki/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/dondoo/nini-ule-katika-kipindi-hiki/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/dondoo/nini-ule-katika-kipindi-hiki/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/dondoo/nini-ule-katika-kipindi-hiki/ […]