Kuna njia nyingi za kuweza kuhifadhi hijab zako, ina tegemea na kipato chako njia njyingine ni ghali, mtu mwenye kipato cha chini hawezi kuhimili lakini pia kuna njia rahisi ambazo kila mtu ana weza kufanya. Wengi wetu tuna pata shida ya kuhifadhi hijab zetu vizuri mwishoe uharibika au kuchanika.
Moja kati ya hizi ni suluhisho ya tatizo lako, lakini kumbuka inategemea na kipato chako na muda wa kupanga hijab zako:
Safu za mbao
Unaweza kuhifadhi hijab zako katika safu za mbao ambazo unazo nyumbani, unaweza kununua au kutengeneza kwa mtindo utakao kwa mafundi selemala, hii ni njia nzuri ya kihifadhi hijab zako endapo una hijab nyingi na una taka kupunguza sehemu ya kuzihifadhi. Kukunja inaweza kua ngumu kwa wakati mwingine endapo hijab unayo itaka ipo chini ya nyingine, ni bora uviringishe ni rahisi kuhifadhi na ni rahisi kutafuta/kuipata
Sanduku
Hii ni njia rahisi na si ghali sababu unaweza kupata sanduku popote pale, viringisha hijab zako kiurefu halafu ziingize katika sanduku lako zikiwa zime pangwa kiurefu, ni rahisi kupata hijab yako na pia hazito haribu/sumbua nyingine wakati wa kutoa
kiango
viango unaweza kununua au ukatengeneza mwenyewe vyovyote kutegemeana na kipato chako, unaweza ukakosa viango vya hijab ila pia una weza kutumia kiango cha suruali au mashati kuhifadhi hijab zako.
Related posts
HOT TOPICS
The Hardest Part Of Being A Nigerian Bride Is To Comeup With A Bride Look That Wont Match With Any Of The Guest’s A… https://t.co/8vfNPS0IYg
FollowItaly Kumekucha Afromates #TheKardashian #TheKardashian wapo huko kwaajili ya the wedding of the year. Haya mnasubiri lo… https://t.co/kENoAG9RQg
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…