SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NJIA RAHISI ZA KUFUTA MAKE-UP
31 Jul 2013 --- Black woman wiping face with cotton pad --- Image by © JGI/Jamie Grill/Blend Images/Corbis
Dondoo

NJIA RAHISI ZA KUFUTA MAKE-UP 

Kupaka make-up ni jambo moja na kuzifuta ni jambo lingine, hasa kama ulipaka make-p nyingi kwa ajili ya sherehe kufuta kwake inakuaga kazi kidogo hadi wengine huamua kulala nazo bila kutoa hadi asubuhi, lakini zipo njia rahisi kabisa za kutoa make-up

ASALI NA BAKING SODA

Unaweza ukahisi ni utani lakini hii njia ni njia rahisi na nzuri mno ya kuondoa make-up, changanya asali na baking soda kidogo kisha weka kwenye kitambaa kisafi na ufute make-up yako utashangazwa na utendaji wake wa kazi.

Step31

BABY WIPES

wengi tunazijua wengine tunatumia kufutia mikono na wengine hata huzitumia chooni lakini pia unaweza kuzitumia kufutia make-up ni raini mno na zina unyevu kwaio huitaji kuwa na wasiwasi kuhusu kukwaruza uso wako, kama unataka njia rahisi za kuondoa make upbasi baby wipes ni jibu tosha

longitude-babywipes2

MVUKE

mvuke wa majichemsha maji safi weka kwenye beseni kisha inamia, mvuke utafungua matundu ya vinyweleo hio ina sababisha make-up kutoka, inamia kwa muda wa dakika kadhaa kisha chukua sabuni na maji masafi kuusafisha uso wako

boiling_water

MAZIWA

ndio maziwa ni namna nzuri ya kutoa make up za machoni, tumbukiza pamba kwenye maziwa kisha futa mascara au eye liner mara moja itafutika

milk-500_0

 

Related posts

2 Comments

  1. Best Psychedelic Store Sydney

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/dondoo/njia-rahisi-za-kufuta-make-up/ […]

  2. buy benelli shotguns

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/dondoo/njia-rahisi-za-kufuta-make-up/ […]

Leave a Reply