SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

NJIA ZA KUONDOA M’BA KICHWANI
Dondoo

NJIA ZA KUONDOA M’BA KICHWANI 

M’ba hutokana na ukavu wa ngozi, pia fungus ambao hutokana na cell za ngozi zilizo kufa. Mba hutia aibu na wengi hufikiri mba hutokana na uchafu kwaio pale unapo kuna kichwa mbele za watu asilimia 99 ya watu hao watajua nywele zako ni chafu hujaosha japo kuwa mba pia huweza kusababishwa na aina ya mafuta uyapakayo.

hizi ni njia chache ambazo zinatumia viungo vya nyumbani/jikoni kutoa mba,

Vinegar/Siki: husaidia kuua fungus na bacteria wanoa sababisha mba, chukua siki changanya na maji kidogo paka katika ngozi ya kichwa kaa na mchanganyiko huo kwa muda wa lisaa limoja kisha osha kichwa chako.

index

Baking Soda: husaidia kuondoa cell za ngozi zilizo kufa cha kufanya changanya baking soda katika shampoo yako kisha utumie kuoshea nywele zako.

Vitunguu swaumu: saga vitunguu swaumu changanya na asali na tangawizi ili kukata ile harufu mbaya ya kitunguu swaumu paka kwenye ngozi ya kichwa kaa nayo kwa muda wa nusu saa kisha osha nywele zako. unaweza pia kutumia shampoo au conditioner zenye kitunguu swaumu.

garlic_625x350_81424865176

Aloe vera: chukua jani la Aloe Vera saga changanya na maji kidogo paka kwenye ngozi ya kichwa kaa nayo kwa muda kisha osha nywele zako.

Related posts

3 Comments

 1. คาสิโนออนไลน์

  … [Trackback]

  […] Here you can find 93283 more Info on that Topic: afroswagga.com/dondoo/njia-za-kuondoa-mba-kichwani/ […]

 2. Dave T Bolno NKSFB

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/dondoo/njia-za-kuondoa-mba-kichwani/ […]

 3. buy botox online 50 units

  … [Trackback]

  […] There you can find 42628 more Info to that Topic: afroswagga.com/dondoo/njia-za-kuondoa-mba-kichwani/ […]

Leave a Reply