SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Perfect Bra Check
Dondoo

Perfect Bra Check 

Kama kuna kitu ambacho huwa kinasumbua wanawake wengi ni kujua perfect bra ipoje. Wengi wetu tunavaa blazia tukiwa hatujui kumbe tumekosea sio size zetu, mfano unaweza kukuta blazia imekutosha kote lakini nyama za pembeni zinaonekana, au nyama za juu hapa kifuani zimetuna wenyewe tunaita ku-boost, lakini kumbe perfect blazia inatakiwa ikutoshe sehemu zote.

Je Blazia ambayo ni perfect inatakiwa kuwaje?

Vitu Vinne Ndivyo Vinavyofanya ujue hii blazia ni perfect kwako

 • Center Band iwe imelala flat

Sio unakuta imejikunja au imezidi yaani haikotoshi vyema basi hio bra sio size yako na wala sio perfect bra kwako

 • Hakuna Gap kati ya Cap na Maziwa

Kuna bra ambazo wengi tunavaa tunaita ku-boost, cap inakuwa kama ndogo na maziwa juu yanachomoza, hii sio perfect bra.

 • Mikanda ya Bra isiteremke wala kubana sana

Mikanda ya bra inatakiwa iwe sehemu yake, ikutoshe accordingly isikubane sana wala isilegee sana mpaka ikawa inashuka mabegani.

 • Nyama za pembeni za maziwa zisitokeze

Kuna bra huwa ukivaa unakuta nyama za pembeni za maziwa huku karibu na makwapa zinachomoza, leave that bra to someone else.

well tuambie je baada ya kusoma hii una perfect bra ngapi kwenye kabati lako?

Related posts

4 Comments

 1. Plantation Shutters

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/dondoo/perfect-bra-check/ […]

 2. wonka chocolate bar

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/dondoo/perfect-bra-check/ […]

 3. Liberty Caps mushroom

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/dondoo/perfect-bra-check/ […]

 4. ufabtb

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/dondoo/perfect-bra-check/ […]

Comments are closed.