SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

RANGI NYEKUNDU NA MAANA YAKE
Dondoo

RANGI NYEKUNDU NA MAANA YAKE 

saikolojia ya rangi inachukua nafasi kubwa sana katika maana ya mambo(saikolojia)hapaduniani,rangi inachukua nafasi ya kukutabiria wewe nini unataka kiwe ili ufanikiwe au lah,haijalishi ka kama wewe umepangalia rangi au hukupangalia(imetokea kwa kutokujua)maumbile ya dunia yapo kukupatia kile ulichoomba(request)na sio vingine kwa lugha rahisi dunia ina kanuni na inabidi uwe ndani ya hizo kanuni ili ufanikiwe,dunia inakupatia mafanikio au lah, tumeshuhudia mara nyingi watu wengi wanashindwa kufanikiwa katika mambo mbalimbali kwa kuwa nje ya kanuni na ndio hii sababu ya kuandika makala hili,dunia ina rangi kuu zifuatazo nyeupe,nyekundu,bluu,njano,kijani,kutokea hapa rangi zote nyingine zinatokea hapa kwa mchanyiko wa hizo hapo rangi mfano pink,majivu nakadhalika,mara nyingii tunashauriwa kuvaa rangi hizo kuu maana zinakua na ujumbe kamili,kila rangi ina maana kubwa kwenye haya maumbile ya dunia.

Leo tunaanza na Rangi Nyekundu na maana yake:

Nyekundu – Hii ni rangi ya upendo, shauku na hari ya vita au kumwagika damu. Ndio maana kwenye sherehe za wapendanao watu huvaa nyekundu na kama ukiona rangi nyekundu kwenye Bendera ya Nchi huashuria Nchini hapo palimwagika damu.

RED

Lakini nchini China, Rangi nyekundu huchukuliwa kama Rangi ya mafanikio na Furaha.Mabibi harusi huvishwa Rangi nyekundu na milango ya watu wa china hupakwa rangi Nyekundu. Rangi nyekundu pia hutumika Kama rangi ya siku ya Jumanne.

8141e8e62b0d9d75db41b527eaf73244

UVAAPO RANGI NYEKUNDU

xCharlize-Theron-Red-Carpet.jpg.pagespeed.ic.V5zSDh550r
Enzi hizo ulipokuwa ukivaa nyekundu ilikuwa ukimaanisha kwamba unajitambulisha kwa jamii kwamba wewe ni mtu mwenye msimamo na unayeweza lolote. Pia ilionyesha kama njia ya kuongeza kujiamini kwako iwapo unahudhuria sherehe au tukio la mahojiano iwapo unajihisi kutokuwa na uhakika na ufanyalo.
Na iwapo mwanamke atakuwa amevaa nguo nyekundu ilikuwa ni kielelezo cha kawaida kuwa tayari mwanamke huyo ameshajiingiza kwenye mahusiano ya kimapenzi.

RANGI NYEKUNDU IKIPAKWA MDOMONI

redlipstick

unajua nyekundu ni hatari au mapenzi, mwanamke anaependa rangi nyekundu huyu yupo tayari kwa lolote au tunaweza sema hawa ndo wale wanaitwa Ready for Action. Wana jiamini na wanasimamia misimamo yako ila inaweza kuwa kwa uzuri au ubaya, inategemeana na mtu. Na kwasababu  nyekundu inaonekana sana wanawake wanaopenda kupaka hii pia wanapenda sana kuonekana (attention) lazima akiingia sehemu umuone.

 

Related posts

3 Comments

  1. Visit This Link

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/dondoo/rangi-nyekundu-na-maana-yake/ […]

  2. click for source

    … [Trackback]

    […] Here you will find 41715 additional Information to that Topic: afroswagga.com/dondoo/rangi-nyekundu-na-maana-yake/ […]

  3. Bubble Tea

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/dondoo/rangi-nyekundu-na-maana-yake/ […]

Leave a Reply