SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

SABABU 5 KWANINI TUMBO LAKO HALIPUNGUI
Afya

SABABU 5 KWANINI TUMBO LAKO HALIPUNGUI 

Unaweza ukawa una fanya mazoezi una jibana kula lakini tumbo lipo pale pale halipungui sana sana linaweza kilawa lina ongezeka, kuna sababu za kwanini halipungui kuna baadhi ya vitu una kosea katika safari yako ya kupunguza tumbo na vitu hivyo ni

1) Una fanya mazoezi tofauti

kuna baadhi ya mazoezi si mazoezi ya kupunguza tumbo, una weza ukawa ume anza kufanya mazoezi lakini una ruka kamba na kukimbia pekee hapo hutoweza kupunguza tumbo una takiwa kufanya seat ups na kunyanyua baadhi ya vyuma pia kuna mazoezi mbali mbali kwa ajili ya kupunguza tumbo.

Getty-463173555-sit_ups-gradyreese

 

2) hupumziki/kulala vya kutosha

Wataalamu wana sema wanawake wanao lala masaa machache wana nafasi kubwa ya kuongezeka kwa mwili ndani ya miaka 16 kuliko wale wanao pumzika kuanzia masaa saba hadi nane, hii ni kutokana na wana wake wanao lala muda mchache kula sana vyakula vyenye calories nyingi kama kahawa etc.

Jaribu kubana ratiba yako ya siku ili uweze kupata masaa mengi ya kupumzika hii itasaidia kupunguza ongezeko la mwili.

get-enough-sleep-700_0

 

3) Soda

unaweza ukawa una lala vizuri una fanya mazoezi vizuri lakini ni mpenzi mno wa kunywa soda hii pia usababisha tumbo lako kuto kupungua wataalamu wanasema soda si nzuri ziwe zenye sukari au diet soda zote si nzuri.

tumia maji au juice

diet-soda-700_0

4) Chumvi

Ni vyema uka tumia vitu kama tangawizi, chili powder katika chakula chako, chumvi si nzuri hasa ile chumvi ya kunyunyuzia katika chakula.

herbs-spices-700_0

5)unywaji wa pombe

Pombe ina sababisha mnywaji atake kula sana si mbaya kunywa glass moja au mbili za wine lakini ule unywaji wa kupitiliza wa vinywaji hivi unaweza kusababisha diet yako na mazoezi yako kuwa ni kazo bure.

drink-too-much-700_0

Related posts

7 Comments

 1. look at more info

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/dondoo/sababu-5-kwanini-tumbo-lako-halipungui/ […]

 2. Get More Info

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/dondoo/sababu-5-kwanini-tumbo-lako-halipungui/ […]

 3. Asbestos Abatement Newburg WV

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/dondoo/sababu-5-kwanini-tumbo-lako-halipungui/ […]

 4. buy Botox online

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/dondoo/sababu-5-kwanini-tumbo-lako-halipungui/ […]

 5. lsm99live.com

  … [Trackback]

  […] Here you will find 28072 additional Information on that Topic: afroswagga.com/dondoo/sababu-5-kwanini-tumbo-lako-halipungui/ […]

 6. you can find out more

  … [Trackback]

  […] There you will find 39691 more Information on that Topic: afroswagga.com/dondoo/sababu-5-kwanini-tumbo-lako-halipungui/ […]

 7. https://www.outlookindia.com/outlook-spotlight/the-14-best-press-release-distribution-services-of-for-enhanced-visibility-and-reach--news-301112

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/dondoo/sababu-5-kwanini-tumbo-lako-halipungui/ […]

Leave a Reply