SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Suit Do & Dont’s
Dondoo

Suit Do & Dont’s 

Leo tutazungumzia zile do and don’ts katika uvaaji wa suti kwa wakaka. Tunajionea wengi wakivaa vazi hili ila wengi wao hukosea na kutofuata sharia zake. Suti si mchezo ati!!!

Tuanze na fittings katika mwili. Hakikisha suti yako imekukaa ipasavyo. Mabegani pawe sawa pia urefu wa suruali uwe sawa. Over sizes katika suti ni mwiko.

  • Uvaapo tai, hakikisha mwisho wa tai ama urefu wake ni juu ya mkanda wako wa kiunoni. Pia hakikisha vifungo vyote hasa cha juu kwenye collar kimefungwa ili tai iweze kukaa sawa.
  • And chagua rangi ya tai ambayo itakuwa brighter than rangi ya shati lako.

 

 

  • Ukiweza pia, hakikisha viatu uvaavyo na mkanda vinashabihiana rangi. Pia viatu vyako hakikisha vya compliment rangi ya suti yako. Kuwepo na mrandano.
  • Socks uvaazo hakikisha ni ndefu ili sehemu za miguu yako zisiweze onekana.

 

  • Uvaapo a two ama three buttoned coat suit yaani koti lenye vifungo viwili ama vitatu, hakikisha kifungo cha mwisho hakifungwi na pale ukaapo, hakikisha vifungo vyote vya koti la suti yako viko wazi ili kuondoa koti lako kuwa na mikunjo.
  • And pale unapovaa shati lenye vifungo cufflinks hakikisha lachozoma zaidi ya koti lako. Oversized coats huziba shati na hushindwa onekana hivyo hili pia kuwa kosa uvaapo suti.

 

Kwa maelekezo haya machache tuna tumaini pale uvaapo suti tena utayazingatia ili uwe kutokelezea kinoma noma na kuendana kweli na kanuni za vazi la suti.

Imeandikwa na Willbard_Jr 

Related posts

2 Comments

  1. ecstasy drug meaning english,

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/dondoo/suit-do-donts/ […]

  2. Continued

    … [Trackback]

    […] There you will find 19010 additional Info to that Topic: afroswagga.com/dondoo/suit-do-donts/ […]

Leave a Reply