SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

TIPS ZA KUWA INSTAGRAM MODEL
Dondoo

TIPS ZA KUWA INSTAGRAM MODEL 

Instagram models ni wale wanamitindo ambao wana tangaza bidhaa  ma kampuni kupitia mitandao mostly mtandao unao tamba kwa kufanya hivyo kwa sasa ni Instagram huko kwa wenzetu wadada na wakaka wengi ambao wana penda kuwa wanamitindo wana tumia fursa hii kufanya kazi zao hapa Tanzania pia wapo lakini wana sua sua hawajui waanzie wapi waishie wapi mwisho wa siku wanaishia kupiga picha za utupu, kuingia kwenye scandals au hata kuamua kuingia katika muziki au uigizaji kitu ambazho hakikua malengo yao.

hizi ni tips tulizo waandalia za namna ya kuwa Instagram (au model wa mitandaoni)

Kwanza kabisa jua malengo yako – ukijua unataka kuwa model wa aina gani utajua upige picha za namna gani na kuzipost mitandaoni kwa mfano labda una penda kuwa fitness model, off course post zako zitakuwa za mazoezi au vyakula ambavyo vinakufanya uwe na mwili mzuri hapo utahitaji

mwili ulio fit fanya mazoezi. Au labda model wa mavazi hapa utahitaji picha ulizo jipangilia vizuri umependeza etc.

2) tafuta mpiga picha mzuri, camera nzuri au simu yenye camera nzuri – hiki ni muhimu sana hakuna brand itakayo kuchukua kama picha zako haziridhishi kwanini? utaonekana haupo determined. Models wengi wanao jielewa hapa kwetu au nje wana piga picha zinazo eleweka mfano mzuri Hamisa Mobetto kwa sasa yeye ndiye model anaye onekana kutangaza brand za mavazi sana una weza kuangalia picture zake zipo vizuri sana.

3) uchaguzi wa theme – unatakiwa kujua theme ya photo shoot yako, kama ni model wa mavazi jua kidogo kuhusu mitindo, ufukweni unavaa nini, outing utavaa nini casual etc katika hili tuna weza kuku direxct kwa mwanamitindo kutoka Tanzania Macrida Joseph, Macrida ni model ambae kila post yake ukiiangalia utaona mavazi yameendena na sehemu aliyopo

4) Usiwe na haraka – piga picha nyingi uwezavyo na chukua muda wako kuchagua the best photo ambayo umetokea vizuri  na madhari ipo vizuri hapa ndipo utakapo pata likes nyingi, repost, tags kutoka kwa fashion bloggers na brand zikaanza kukutambua na pia una weza ku tag brand nyingi uwezavyo kufanya awareness wakuone

repeat the process hopefull tume kusaidia kwa namna moja au nyingine.

Related posts

6 Comments

 1. helpful resources

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/dondoo/tips-za-kuwa-instagram-model/ […]

 2. quality dope

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/dondoo/tips-za-kuwa-instagram-model/ […]

 3. hawaiian magic mushrooms

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/dondoo/tips-za-kuwa-instagram-model/ […]

 4. Buy Methasterone

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/dondoo/tips-za-kuwa-instagram-model/ […]

 5. 다시보기

  … [Trackback]

  […] There you will find 75656 additional Info on that Topic: afroswagga.com/dondoo/tips-za-kuwa-instagram-model/ […]

 6. tohatsu 60hp

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/dondoo/tips-za-kuwa-instagram-model/ […]

Leave a Reply