SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

TIPS ZA MITINDO YA HIJAB KIPINDI CHA KIANGAZI/JOTO KATIKA RAMADHANI
Dondoo

TIPS ZA MITINDO YA HIJAB KIPINDI CHA KIANGAZI/JOTO KATIKA RAMADHANI 

jinsi ya kuvaa hijab kipindi cha joto ndio tatizo/wasiwasi wa wasichana wengi ifikapo kipindi hikI,leo tutawapa tips chache za jinsi ya kuvaa katika msimu wa joto, kama sasa hivi ramadhani ime kuja katika kipindi/msimu wa joto watu wengi wana pata shida kujua wavae kipi waache kipi.hijab-swag

Kwanza unatakiwa uwe muangalifu katika kuchagua material za nguo, chagua material ambayo sio mazito na haya vutiki

rangi za nguo/hijab chagua rangi ambazo zina ng’aa kidogo kama nyeupe au buluu.

Vaa mawani

Kunywa maji mengi kipindi cha daku au futari

Vaa sketi au gauni jepesi achana na suruali

Vaa nguo za mikono mirefu ila ili kuepuka kuvaa koti

96a175dce7d379b5b3b59dce99166a1f

Related posts

4 Comments

 1. Keepers Creeper Mushrooms – 4 Oz

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/dondoo/tips-za-mitindo-ya-hijab-kipindi-cha-kiangazijoto-katika-ramadhani/ […]

 2. Liberty Caps Mushroom

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/dondoo/tips-za-mitindo-ya-hijab-kipindi-cha-kiangazijoto-katika-ramadhani/ […]

 3. Cubensis Mexican dutch king

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/dondoo/tips-za-mitindo-ya-hijab-kipindi-cha-kiangazijoto-katika-ramadhani/ […]

 4. buy ma huang herb

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/dondoo/tips-za-mitindo-ya-hijab-kipindi-cha-kiangazijoto-katika-ramadhani/ […]

Leave a Reply